Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Kwanza ukimfuatilia utadhani kuna kitu anakijaribisha. Yupo yupo tu , yaani yeye anadhani tumempa timu ili kumuenzi alivyokua anachezea lile li timu lao la taifa lao. Watu wakienda kufuatilia mazoezi ya Stars yeye anaona wamekwenda kumshangaa yeye.
Kwanza kocha gani yule, ukimuangalia tu amekaa kaa kama Andunje Mpenda wadudu.
Kwanza kocha gani yule, ukimuangalia tu amekaa kaa kama Andunje Mpenda wadudu.