pamoja na mapungufu ya Stars ya miaka yote safari hii tatizo ni Kocha

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,037
Reaction score
24,637
Kwanza ukimfuatilia utadhani kuna kitu anakijaribisha. Yupo yupo tu , yaani yeye anadhani tumempa timu ili kumuenzi alivyokua anachezea lile li timu lao la taifa lao. Watu wakienda kufuatilia mazoezi ya Stars yeye anaona wamekwenda kumshangaa yeye.

Kwanza kocha gani yule, ukimuangalia tu amekaa kaa kama Andunje Mpenda wadudu.
 
Muuza nyanya yule... Sio kocha kabisa...
 
Machezaji yoote yaliyo cheza jana ni mamburumundu, yaani yameandalia mwezi mzima vizuri, wakiandaliwa kisaikolojia kupamvana na kufanya maeoezi kiwango, alafu yanakuja kufungwa na washamba waliokaa kambini siku2, tena kimagumashi magumashi
 
Back
Top Bottom