Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Hata kama tuna ligi mbovu, lakini Taifa stars haijawahi kufundishwa na kocha wa kiwango cha chini kama Amunike.Kila siku n kocha lig mbovu hat timu n lazm hiwe mbovu
Muuza nyanya yule... Sio kocha kabisa...Kwanza ukimfuatilia utadhani kuna kitu anakijaribisha. Yupo yupo tu , yaani yeye anadhani tumempa timu ili kumuenzi alivyokua anachezea lile li timu lao la taifa lao. Watu wakienda kufuatilia mazoezi ya Stars yeye anaona wamekwenda kumshangaa yeye.
Kwanza kocha gani yule, ukimuangalia tu amekaa kaa kama Andunje Mpenda wadudu.