Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,335 Reaction score 2,899 Oct 10, 2026 #1 Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amua? https://www.jamiiforums.com/attachments/3535461/
Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amua? https://www.jamiiforums.com/attachments/3535461/
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Oct 10, 2026 #2 Mjomba andika na maneno basi. Sisi wengine bundle ni la kugongea.