Duh...
Nawaza kwa sauti tu hivi nyinyi wanaume mna nini lakini, ZARI pamoja na kuonesha ufundi wote wa kuzungusha mauno lakini bado alisalitiwa, lol nimewachoka kwakweli..
Mauno anayakata mtaani na chumbani, alikuwa hayakati
Nawaza kwa sauti tu hivi nyinyi wanaume mna nini lakini, ZARI pamoja na kuonesha ufundi wote wa kuzungusha mauno lakini bado alisalitiwa, lol nimewachoka kwakweli..
Gemu litakua tamu sana, huku mo'salah, huku Madrid, haki panapo uhai, ni lazima nishuhudie huu mtanangeHizi threads za CHAPUTA, ngoja niende zangu kwenye jukwaa la michezo, maana Liverpool wanachonga kule mpaka raha.

HahahahaMiuno hiyo ya chuku chuku ni tofauti na ile ya mtu akipachikwa kipande cha nyama..