Pamoja na Mauno haya Bado ZARI alipigwa kibuti.

kiximi

Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
9
Reaction score
9

Nawaza kwa sauti tu hivi nyinyi wanaume mna nini lakini, ZARI pamoja na kuonesha ufundi wote wa kuzungusha mauno lakini bado alisalitiwa, lol nimewachoka kwakweli..
 
Duh...
 
Mauno anayakata mtaani na chumbani, alikuwa hayakati
 
Hizi threads za CHAPUTA, ngoja niende zangu kwenye jukwaa la michezo, maana Liverpool wanachonga kule mpaka raha.
Gemu litakua tamu sana, huku mo'salah, huku Madrid, haki panapo uhai, ni lazima nishuhudie huu mtanange
 
mbona wimbo uliokuwa unapigwa ulikuwa tofauti na aliokuwa akiucheza
 
Cha kwanza zari hajui kucheza,cha pili k yake ya baridii kama wazijua k za kiganda zilivyo,cha tatu huyo sio zari na wala sijataka kuifungua hiyo video
 
Back
Top Bottom