Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Mimi naona ni Wananchi wenyewe kutojielewa. Viongozi wa Afrika wako kwaajili yao binafsi, familia na watu wa karibu yao, siyo kwaajili ya wananchi. Kitu kinachotakiwa ni kuungana kwa pamoja, ili kuweka kila kitu kwenye mstari.
Kwa manufaa ya wote na vizazi vijavyo, ila sasa walaji wananufaika na hii ya vyama na wanachama. Kila kiongozi tutamuona mbaya sababu naye kaukuta mfumo anauendeleza, kwa Afrika Uraisi mtu anachukulia kama mali yake au Mfalme/Malkia hatutafikia demokrasia ya kweli.
Ndiyo sasa hao ccm wanaokatwa kwa maelekezo, wataanza kuuona ubaya wa mfumo kuanzia chamani kwao. Ila wangepitishwa wasingeona kuna ubaya. Taratibu kila mtu akiguswa, ndiyo ataona umuhimu wa kuwa na Reforms ili haki itendeke kwa kila mtu.