Pamoja na Mbeya City FC kuturahisishia Mahesabu ambayo sikuyategemea, bado naendelea Kusisitiza Simba SC atakuwa Bingwa tena kwa mara ya 5

Huko Yanga moto unafukuta.
Kuna Yanga GSM ambayo msemaji wake ni Manara na kuna Yanga lia lia msemaji wake Bumbuli.

Mnyukano huo utakolezwa baada ya Yanga kufungwa mechi moja.
Huo moto unaofukuta inawezekana unafukutia uvunguni mwa timu dhaifu ambayo inategemea penalty kushinda mechi na inajulikana sijawai kuona nyumba yenye amani inakuwa na fukuto bali fukuto utokea kwa wanaojitafuta baada ya mambo kwenda kombo
 
Simba SC atamfunga Yanga SC

Azam FC atamfunga Yanga SC

KMC FC atamfunga Yanga SC

Namungo FC atatoka Sare na Yanga SC

Mtibwa Sugar FC atatoka Sare na Yanga SC

Mbeya City FC atatoka Sare na Yanga SC

Biashara United FC atatoka Sare na Yanga SC
Mkuu wakati unapanga hiyo mipango,Je simba ana uhakika hizo mechi zote zilizobakia?
 
Huo moto unaofukuta inawezekana unafukutia uvunguni mwa timu dhaifu ambayo inategemea penalty kushinda mechi na inajulikana sijawai kuona nyumba yenye amani inakuwa na fukuto bali fukuto utokea kwa wanaojitafuta baada ya mambo kwenda kombo
Kuna timu, vijana walianza kidato cha kwanza mpaka wamemaliza kidato cha nne, haijasikika kuchukua kombe. Mwaka huu inahisi itachukua.
Yetu macho fukuto lililomo ndani kutoka Yanga lia lia.
 
Simba SC atamfunga Yanga SC

Azam FC atamfunga Yanga SC

KMC FC atamfunga Yanga SC

Namungo FC atatoka Sare na Yanga SC

Mtibwa Sugar FC atatoka Sare na Yanga SC

Mbeya City FC atatoka Sare na Yanga SC

Biashara United FC atatoka Sare na Yanga SC
Huyu anafaa kuwa Kalumanzira na Inapaswa aajiriwe pale TFF ili aisaidie Taifa Stars. [emoji23]
 
What a wishful thinking!
.
20220126_191649.jpg
 
Najua baada ya Sare ya Leo piga ua kuelekea Mechi yao ya Kumaliza mzunguko wa Kwanza GSM watahonga kadri wawezavyo ili Yanga SC amfunge Mtibwa Sugar FC Wiki ijayo ili apunguze Presha kwa Mashabiki wake.

Na kibaya zaidi Mtibwa Sugar FC wana Golikipa ambaye ni mwana Yanga SC lia lia na anaichukia sana Simba SC Shabaan Kado hivyo najua nae kuna Goli zuri tu kwa Makusudi atawazawadia Yanga SC.

Hata hivyo pamoja na Yanga SC kuwa katika nafasi nzuri ya Kumfunga Mtibwa Sugar FC nitoe Kwanza pongezi zangu nyingi kwa Mbeya City FC kwa Kuwabana na Kumpunguza Alama ( Points ) Mbili hivyo Kuturahisishia Kazi mapema Simba SC kuliko ambavyo tulitarajia.

Kwa Mkakati Maalum (wa Kimafia) nina uhakika katika Mzunguko wa Pili Yanga SC atapoteza ( ataacha ) Alama kwa Timu zifuatazo ambazo naziamini na ndipo Simba SC itapitia humo humo mpaka kuwa Bingwa tena kwa mara ya Tano ( 5 ) safari hii ikiitwa NBC Premier League 2021 / 2022...

Simba SC atamfunga Yanga SC

Azam FC atamfunga Yanga SC

KMC FC atamfunga Yanga SC

Namungo FC atatoka Sare na Yanga SC

Mtibwa Sugar FC atatoka Sare na Yanga SC

Mbeya City FC atatoka Sare na Yanga SC

Biashara United FC atatoka Sare na Yanga SC

Jumla Yanga SC anaenda Kupoteza (Kuacha) Alama (Points) 17 katika Mzunguko wa Pili ( wa lala Salama ) wa Ligi Kuu ya NBC.

Kuanzia Mechi ya Juzi ya Simba SC na Prisons FC na ya Kesho dhidi ya Mbeya Kwanza FC na Mechi zote za Mzunguko wa Pili ( wa mwisho ) mnaodhani Simba SC ama itafungwa au hata kutoka Sare tena mmekosea kwani hivi Wazee wa Fitina, Hila na Umafia tumesharejea Kundini na sasa ni mwendo wa Kushinda tu Mechi zetu zote Kudadadeki.
Waambie hao mafala
 
Sema uyo shaban kado wakitambo toka Niko mdogo namsikia enzi hizo Yupo stars Mpaka leo hii na late 20's
 
Rubish
 
Hili jinga ndo maana lilifukuzwa Kazi.
Siku moja niliona akikuambia umuanike hapa JamiiForums na ukiwa na Ushahidi wa hiyo Ofisi aliyofukuzwa Kazi pia utuwekee hapa Sisi wana JamiiForums tujue na tumjue pia mbona hukufanya hivyo na kila Siku unakuja Kutupotezea muda hapa kwa kusema kuwa alifukuzwa Kazi?

Halafu kuna mahala pia tena kwa Kujiamini kabisa alisema ulipokuwa nae huko Chuoni Kwenu ulikuwa ukijihusisha na Vitendo vya Ushoga na mpaka ulikuwa ukihitaji nae akuingilie Kinyume na Maumbile ila akakataa na ndipo Chuki yako nae ilipoanzia. Je, hili lina Ukweli wowote?

Tafadhali unapojiandaa Kulijibu hili la kumtaka akuingilie Kinyume na Maumbile mlipokuwa huko Chuoni Kwenu usisahau Kumuanika hapa kwani ulisema kuwa unamjua vyema kuliko hata Waliomzaa na Wapenzi wake anaowakojolea kila Uchao. Hata Sisi tutafurahi tukimjua na tukijua na hiyo Ofisi unayodai alifanya na akafukuzwa.

Tunasubiri.

Cc: demigod
 
Ujinga mtupu tafuta kazi umri umeenda sana utachunga mbuzi wa mzee wako hadi lini??
 
Tafadhali mjibu Yeye na siyo Mimi sawa? Sisi Members tunasubiri kwa hamu utaje hiyo Ofisi / Taasisi uliyotuambia kuwa walimfukuza kwani ulisema kuwa unamjua mno.

Ukimaliza hili tunaomba ujibu Hoja yake kuwa Wewe huwa Unaingiliwa Kinyume na Maumbile tokea ukiwa nae Chuo na ulimtaka ila akakataa Kukufanya ndiyo ukaamua Kumchukia.

Binafsi Sikusoma ili nije kuwa Muajiriwa Maisha yangu yote na sasa naendesha Miradi ya Kifamilia nikiwa ndiyo Mtoto pekee baada ya Wazazi wangu Kujipangaye vyema Kimaisha ili Mtoto wao nisije Kutesseka kama unavyoteseka sasa Wewe huku waliokuzaa wakiwa Wanaoza tu na Umasikini Wao huko Kijijini jirani Banda la Kuku na Bata wanaowafuga.

Halafu tuliona pia ukisema kuwa huyo Jamaa alirudia Chuo ukimaanisha kuwa hana Akili ila tunaomba utusaidie hivi Kitaaluma anayerudia Chuo Kikuu anaweza akamaliza Chuo na Wenzake hadi Kuhitimu ndani ya muda wa Kozi husika ya miaka Mitatu kama aliyosoma Yeye?
 
Yaani wewe genta unatakiwa kwenda milembe,
Hapa unadhani eti hatukujui na vile li mwandiko lako hujui kubadilisha unaonekana kituko tu.

Tafuta kazi. Na chuo ulirudia mwaka sio uongo.
 
1. Mbona tunaofuatilia mpambano wenu na huyo Basha wako tunaanza sasa Kukuona Wewe ndiyo Mpumbavu, Mshamba na Mwendawazimu zaidi yake?

2. Umekiri kuwa unamjua ndani nje ( na bila shaka hata Picha zake na Majina yake unayo ) na alikupa ruhusa ya Kumuanika hapa ili nasi tumjue kwanini humuaniki? Tatizo ni nini?

3. Binafsi kama Mightier Kazi ya Kusimamia Miradi ya Wazazi wangu waliosoma vyema, Kujipanga vyema Kimaisha na Kuniandalia Maisha nisije Kutaabika kama Wewe mpaka nasikia unatumika na Wanaume Wenzako Kinyume na Maumbile inanitosha.

4. Kumbe huyo Basha wako Genta alirudia mwaka Chuoni SAUT ambako alianza Kozi yake ya Mass Communication mwaka 2006 akiwa na akina Marehemu Haonga Lutengano ( Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa TBC ) na akamaliza nao mwaka 2009?

Sasa ni mwaka upi labda hapo aliourudia? Kwahiyo kumbe Chuo Kikuu unaweza ukarudia mwaka Mmoja wa Kitaaluma na bado ukahitimu na wale wale waliokuacha ambao ulianza nao mwaka?

Upo uwezekano mkubwa waliofanya Mchakato wa kukuleta duniani wakiwa Chumbani Kwao Siku ya tukio wote Vichwa vyao ( Ubongoni mwao ) vilijaa Usaha na Taka Ngumu za Binadamu ndiyo maana wakakuleta Uncircumcised Baboon Wewe Ulimwenguni.

Kwa tunaofuatilia mpambano wenu bado tunakuomba utuwekee hapa hapa JamiiForums hiyo Ofisi au Taasisi au Kampuni ambayo unasema kuwa huyo Basha wako Genta alifukuzwa kwani ulisema kuwa una uhakika nalo na kwamba unamjua vyema.
 
Najua baada ya Sare ya Leo piga ua kuelekea Mechi yao ya Kumaliza mzunguko wa Kwanza GSM watahonga kadri wawezavyo ili Yanga SC amfunge Mtibwa Sugar FC Wiki ijayo ili apunguze Presha kwa Mashabiki wake.

Na kibaya zaidi Mtibwa Sugar FC wana Golikipa ambaye ni mwana Yanga SC lia lia na anaichukia sana Simba SC Shabaan Kado hivyo najua nae kuna Goli zuri tu kwa Makusudi atawazawadia Yanga SC.

Hata hivyo pamoja na Yanga SC kuwa katika nafasi nzuri ya Kumfunga Mtibwa Sugar FC nitoe Kwanza pongezi zangu nyingi kwa Mbeya City FC kwa Kuwabana na Kumpunguza Alama ( Points ) Mbili hivyo Kuturahisishia Kazi mapema Simba SC kuliko ambavyo tulitarajia.

Kwa Mkakati Maalum (wa Kimafia) nina uhakika katika Mzunguko wa Pili Yanga SC atapoteza ( ataacha ) Alama kwa Timu zifuatazo ambazo naziamini na ndipo Simba SC itapitia humo humo mpaka kuwa Bingwa tena kwa mara ya Tano ( 5 ) safari hii ikiitwa NBC Premier League 2021 / 2022...

Simba SC atamfunga Yanga SC

Azam FC atamfunga Yanga SC

KMC FC atamfunga Yanga SC

Namungo FC atatoka Sare na Yanga SC

Mtibwa Sugar FC atatoka Sare na Yanga SC

Mbeya City FC atatoka Sare na Yanga SC

Biashara United FC atatoka Sare na Yanga SC

Jumla Yanga SC anaenda Kupoteza (Kuacha) Alama (Points) 17 katika Mzunguko wa Pili ( wa lala Salama ) wa Ligi Kuu ya NBC.

Kuanzia Mechi ya Juzi ya Simba SC na Prisons FC na ya Kesho dhidi ya Mbeya Kwanza FC na Mechi zote za Mzunguko wa Pili ( wa mwisho ) mnaodhani Simba SC ama itafungwa au hata kutoka Sare tena mmekosea kwani hivi Wazee wa Fitina, Hila na Umafia tumesharejea Kundini na sasa ni mwendo wa Kushinda tu Mechi zetu zote Kudadadeki.
Zee la kuropoka njoo ujitukane huku
 
Back
Top Bottom