Kuna baadhi ya wanasiasa ama kwa kujua au kwa kutaka kwao sifa kauli zao zimekuwa zinaigawa taifa stars na wananchi kwa ujumla.
Ni wakati sasa TFF iweke kanuni kuzuia wanasiasa kutoa zawadi au kauli pasipo kibali cha uongozi wa timu husika!
Lengo kuu ni kondoa kauli na zawadi zenye mkanganyiko pia kuondoa wanasiasa wanaotoa ahadi hewa kwa wachezaji