NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Halafu alikufa mapema sana pengine angezidi kuvuma.Kila mzuiki una mtu wake mashuhuri, kwenyr rege bob hawezi sahaulika, kwenye pop michael hawezi sahaulika, kwenye hip hop 2pac hawezi sahaulika, ukisema nani maarufu lazima ujue kila mtu ana zama zake hapo, bob alikuwa maarufu sana hata akiwa marehemu jina lake lilivuma sawa na michael alipokuwa mzima, bob alipendwa sana na kizazi fulani na jamii fulani....mziki wa bob unasikilizwa sana kuliko mziki wa michael kwa sasa....
ni kosa la jinai kumlinganisha BOB MARLEY NA MWANAMZIKI YOYOTE YULE tangu dunia iumbwe hatakuja kutokea mtu maarufu kama huyo BOB hata uende wapi kila mtu anamjua ila michael jackson hapana kwanza amejulikana saana alipokufa hebu fikiria BOB amefariki mwaka 1981 akiwa na miaka 36 tuu yaani miaka 38 iliyopita angalia legacy alioacha mana ni kosa la jinai kabisa kumlinganisha bob na michael jackson
NOTE:
NI KOSA LA JINAI KUMLINGANISHA BOB MARLEY NA MWANAMZIKI YOYOTE YULE NA HUKUMU YAKE NI KUNYONGWA HADI KUFA PLEASE PUT SOME RESPECT ON HIS NAME
okay nina matatizo ya akiliUna matatizo ya akili...
unasema Michael Jackson amejulikana alipokufa au wewe ndio umemjua alipokufa?
Unamfahamu mwanamuziki bora wa karne (20) ... karne ambayo Bob alikuwepo na sio Bob mpaka the beatles, elvis presley na wengineo..
kama humjui mwnamuziki bora wa karne ni Michael Joseph Jackson
Michael alimuoa mtoto wa presley ili apate mashairi ya nguli huyo!Una matatizo ya akili...
unasema Michael Jackson amejulikana alipokufa au wewe ndio umemjua alipokufa?
Unamfahamu mwanamuziki bora wa karne (20) ... karne ambayo Bob alikuwepo na sio Bob mpaka the beatles, elvis presley na wengineo..
kama humjui mwnamuziki bora wa karne ni Michael Joseph Jackson
Bob ni maarufu sawa ila kusema Michael Jackson kawa maarufu saana alipokufa huenda humfahama MJ we jamaa, kuitwa mfalme wa Pop siyo jambo jepesi, Michael enzi zake show zake bob sidhani kama angefikia.ni kosa la jinai kumlinganisha BOB MARLEY NA MWANAMZIKI YOYOTE YULE tangu dunia iumbwe hatakuja kutokea mtu maarufu kama huyo BOB hata uende wapi kila mtu anamjua ila michael jackson hapana kwanza amejulikana saana alipokufa hebu fikiria BOB amefariki mwaka 1981 akiwa na miaka 36 tuu yaani miaka 38 iliyopita angalia legacy alioacha mana ni kosa la jinai kabisa kumlinganisha bob na michael jackson
NOTE:
NI KOSA LA JINAI KUMLINGANISHA BOB MARLEY NA MWANAMZIKI YOYOTE YULE NA HUKUMU YAKE NI KUNYONGWA HADI KUFA PLEASE PUT SOME RESPECT ON HIS NAME
Bob alikufa akiwa kwenye kilele, MJ alikufa akiwa tiyari umaarufu wake umeshashuka, ukute na Bob angeishi sana angeonekana wa kawaida tu na umaarufu ungeshuka mwisho wa sikuHalafu alikufa mapema sana pengine angezidi kuvuma.
Nasema hiviiiii Michael Jackson ndiye mtu maarufu kuwahi kutokea ndani ya karne 21Una matatizo ya akili...
unasema Michael Jackson amejulikana alipokufa au wewe ndio umemjua alipokufa?
Unamfahamu mwanamuziki bora wa karne (20) ... karne ambayo Bob alikuwepo na sio Bob mpaka the beatles, elvis presley na wengineo..
kama humjui mwnamuziki bora wa karne ni Michael Joseph Jackson
Wewe jamaa hebu mtake radhi MJ kidogo tafadhali .... hapa unamuongelea huyu mtu mwenye ushawishi kuliko watu wote wa karne 21 ujue ... umesema mj alimuoa mtoto wa Presley ili apate mashairi ya nguli huyo !?( Haha hiki ni kichekesho cha mwaka aise). Kwa hiyo nyimbo kama I'll be there .beat it " bellie Jean.rock with you na don't stop till u get it enough ...zote aliandikiwa na Presley ... kama jibu ni hapana ..mbona kwakupitia vibao hivyo tayari Michael alishakuwa famous wa kutisha SanaMichael alimuoa mtoto wa presley ili apate mashairi ya nguli huyo!
Literally alikuwa ameishiwa.
Bob alikuwa na bado anazidiwa na Peter Tosh pekee!
"Legalize marijuana" dunia nzima inaitikia
Hahahahaah
Uwongo ... kati ya hao wawili .. Michael Jackson ndiye anayefahamika sana kwa kutumia kifupi cha jina lake .. ambacho ni MJIf one asks you, who is MJ?
The responses would be Michael Jackson and Michael Jordan.
But when one asks you who is Bob, you only have one response.
Uwongo ... kati ya hao wawili .. Michael Jackson ndiye anayefahamika sana kwa kutumia kifupi cha jina lake .. ambacho ni MJ
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...Michael alimuoa mtoto wa presley ili apate mashairi ya nguli huyo!
Literally alikuwa ameishiwa.
Bob alikuwa na bado anazidiwa na Peter Tosh pekee!
"Legalize marijuana" dunia nzima inaitikia
Hahahahaah
Michael Analundika wehu wenzie, Peter Tosh ni world legislature! An economist, A doctor.Hahaha...
Hamna kitu unajua we jamaa..
MICHAEL JOSEPH JACKSON alishavunja rekodi za dunia kuanzia za elvis na the beatles akiwa hata hajaoa...
Hebu fikiria album iliyouza zaidi Dunani ya "Thriller" imetoka 1982 Michael akiwa na miaka 25 tuuu...
Sio elvis wala mshenzi yeyote ambaye anakaria Mauzo ya Thriller....
N.B
MICHAEL JACKSON huwa halinganishwi ma mtu mmoja mmoja...
ILI upate wa kumlinganisha ma Michael Jackson inabidi utafute kikundi cha watu kama "The Beatles" na bendi nyinginezo la sivyoo utakuwa unashindanisha uzito wa kisoda na tembo maana hawatamfikia katika kila kitu kimuziki kuanzia mauzo, umaruufu au kujaz shows.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo ndivyo vigezo vya kuwa msanii bora ?Michael Analundika wehu wenzie, Peter Tosh ni world legislature! An economist, A doctor.
Kasikize "Holocaust nuclear war" utajaribu kunielewa.