Hahaha...
Hamna kitu unajua we jamaa..
MICHAEL JOSEPH JACKSON alishavunja rekodi za dunia kuanzia za elvis na the beatles akiwa hata hajaoa...
Hebu fikiria album iliyouza zaidi Dunani ya "Thriller" imetoka 1982 Michael akiwa na miaka 25 tuuu...
Sio elvis wala mshenzi yeyote ambaye anakaria Mauzo ya Thriller....
N.B
MICHAEL JACKSON huwa halinganishwi ma mtu mmoja mmoja...
ILI upate wa kumlinganisha ma Michael Jackson inabidi utafute kikundi cha watu kama "The Beatles" na bendi nyinginezo la sivyoo utakuwa unashindanisha uzito wa kisoda na tembo maana hawatamfikia katika kila kitu kimuziki kuanzia mauzo, umaruufu au kujaz shows.
Sent using
Jamii Forums mobile app