OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
MJ ni bora lakini kwa Bob ana mengi ya kujifunza.Una matatizo ya akili...
unasema Michael Jackson amejulikana alipokufa au wewe ndio umemjua alipokufa?
Unamfahamu mwanamuziki bora wa karne (20) ... karne ambayo Bob alikuwepo na sio Bob mpaka the beatles, elvis presley na wengineo..
kama humjui mwnamuziki bora wa karne ni Michael Joseph Jackson
Michael Jackson alipofikisha miaka 36 sawa na aliyofika BOB wakati amefariki alikuwa ameshaweka rekodi ambazo mpaka leo hazijavunjwa na kiumbe chochote kileMJ ni bora lakini kwa Bob ana mengi ya kujifunza.
Bob alifariki mapema sana ..kama angekuwepo na MJ angekuwepo unadhani nani angekuwa God of music?
Jibu ni Bob Nesta Marley..
Sent using Jamii Forums mobile app
Story gani haina fact?kasome history ya zimbabwe ndio utajua bob marley ni nani kablahaujaongea fanya research kaka sio kubwabwaja tuu bob alijenga majumba na kugawia maskini ndio maana watotyo wake wanaishi kwa heshima saaana(legacy) aliiacha baba yao wewe kaa na stories zisizokuwa na facts
Kuna ushabiki na kuna uelewa.Michael daaah nahisi nizaidi kidogo ya Bob
Cheki hapa akiwa russia jamaa kapokelewa kama rais vile.Hatokuja kutokea msanii kama huyu duniani
si kweli kabisa
Tuassume Michael Jackson alikufa 1994 ambapo alikuwa na umri sawa na ule Bob aliofariki akiwa nao...(miaka 36)
Mpaka mwaka 1994 ..Michael Jackson alikuwa ameshatoa album Kama Thriller, Bad, Off the wall, dangerous ...
Kati ya hizo album Hakuna hata moja inayofikiwa na album yeyote ile ya Bob marley kwa mauzo.
Mpaka mwaka 1994 Mj alikuwa ameshaweka rekodi ya kuchukua grammy nyingi zaidi ndani siku moja .........rekodi ambayo aliiweka mwaka 1984.
Mpaka 1994 alikuwa ameshatoa Video ya thriller ..video pekee ya muziki ambayo ipo kwenye maktaba ya taifa USA..
Mpaka 1994 Mj alikuwa ameshafanya Bad tour na Dangerous tour, tour ambazo zilijaza mamilioni ya watu kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mwanamuziki yeyote....
Hao ni WATU wawili tofauti,,,ni sawa NA KUMSHINDANISHA ANORD SWEZNIGER na ROWAN ATKINSON(MR BEEN)huyo anaigiza UBABE mwingine VICHEKESHO,,,hivi mpenzi wa MICHAEL JACKSON anayependa mizik ya SOUL...uje umwambiye mambo ya BOB MARLEY anayepiga REGGY mtaelewana kwl?MICHAEL JACKSON NI HATARI kwa music wake na hata mtunzi mzuri pia,, BOB MARLEY nae ni mzuri kwa music wake...lakini MICHAEL JACKSON alibeba DUNIA NZIMA,,,,the WACKO JACKO...View attachment 996824
Sent using Jamii Forums mobile app
si kweli kabisa
Tuassume Michael Jackson alikufa 1994 ambapo alikuwa na umri sawa na ule Bob aliofariki akiwa nao...(miaka 36)
Mpaka mwaka 1994 ..Michael Jackson alikuwa ameshatoa album Kama Thriller, Bad, Off the wall, dangerous ...
Kati ya hizo album Hakuna hata moja inayofikiwa na album yeyote ile ya Bob marley kwa mauzo.
Mpaka mwaka 1994 Mj alikuwa ameshaweka rekodi ya kuchukua grammy nyingi zaidi ndani siku moja .........rekodi ambayo aliiweka mwaka 1984.
Mpaka 1994 alikuwa ameshatoa Video ya thriller ..video pekee ya muziki ambayo ipo kwenye maktaba ya taifa USA..
Mpaka 1994 Mj alikuwa ameshafanya Bad tour na Dangerous tour, tour ambazo zilijaza mamilioni ya watu kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mwanamuziki yeyote....
Umeongea kiume. Big UpBob marley aliishi miaka 36 tu,na Michael jackson aliishi miaka 50 lakini Bob anakubalika na wengi kuliko MJ,
Bob ameendelea kua maarufu na kupendwa hata na kizazi kilicho kuja na kukuta kisha fariki,
Bob marley kafa miaka 37 iliyopita lakini utafikiri kafa miaka miwili nyuma tu!
Bob is still alive,
Namkubali MJ but Bob acheni aitwe Bob,nyimbo zake ni darasa tosha kabisa katika maisha ya kila siku.
Umemaliza kila kitu mkuu nakuunga mkono kwa comment yako poaKwa maudhui, revolutionary na heshima kwa hadhira hapo ni Bob Nesta Marley.
Kwa kuburudisha ni Wako Jacko hakuna ubishi.
Atakayepingana na hili lazima uje na data na hoja shawishi.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo