Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Una matatizo ya akili...

unasema Michael Jackson amejulikana alipokufa au wewe ndio umemjua alipokufa?

Unamfahamu mwanamuziki bora wa karne (20) ... karne ambayo Bob alikuwepo na sio Bob mpaka the beatles, elvis presley na wengineo..

kama humjui mwnamuziki bora wa karne ni Michael Joseph Jackson
MJ ni bora lakini kwa Bob ana mengi ya kujifunza.

Bob alifariki mapema sana ..kama angekuwepo na MJ angekuwepo unadhani nani angekuwa God of music?

Jibu ni Bob Nesta Marley..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michael Jackson alipofikisha miaka 36 sawa na aliyofika BOB wakati amefariki alikuwa ameshaweka rekodi ambazo mpaka leo hazijavunjwa na kiumbe chochote kile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michael daaah nahisi nizaidi kidogo ya Bob
Kuna ushabiki na kuna uelewa.
Tukija kwenye ushabiki Bob anafahamika mpaka vijijini kabisa,tena nenda ndani ndani huko akatokea muuliza kijana au mzee WHO THE BOB,atakujibu na kwenye upande wa uwelewa,MICHAEL anafahamika kwa makundi hayo,lakini nina hakika ukienda hukohuko ulipofanya field ya Bob tarajia kupata watu wachache sana wanaomfahau JACKSON

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi kuna mamilioni ya Rastas Duniani influenced by Bob Marley, lakini wanaume wachache tu wanaojichubua kama Michael Jackson
 
Binafsi yangu bob ni zaidi, kwasababu aliimba mziki ambao ni ngumu kutoka ila akatoka, ingawa kina jim cliff walitangulia lakini unapozungumzia reggae unamzungumzia bob marley, aliuweka mziki wa reggae katika ramani ya muziki, isitoshe alitoka kwenye kakisiwa ambako kama angeimba mziki tofauti na raggse ingemuwia vigumu kutoka, wacko jacko nampa heshima yake hasa kwenye kudance na sauti, but legendary ni legendary tuu bob ni legendary kuliko michael
 
si kweli kabisa

Tuassume Michael Jackson alikufa 1994 ambapo alikuwa na umri sawa na ule Bob aliofariki akiwa nao...(miaka 36)

Mpaka mwaka 1994 ..Michael Jackson alikuwa ameshatoa album Kama Thriller, Bad, Off the wall, dangerous ...

Kati ya hizo album Hakuna hata moja inayofikiwa na album yeyote ile ya Bob marley kwa mauzo.

Mpaka mwaka 1994 Mj alikuwa ameshaweka rekodi ya kuchukua grammy nyingi zaidi ndani siku moja .........rekodi ambayo aliiweka mwaka 1984.

Mpaka 1994 alikuwa ameshatoa Video ya thriller ..video pekee ya muziki ambayo ipo kwenye maktaba ya taifa USA..

Mpaka 1994 Mj alikuwa ameshafanya Bad tour na Dangerous tour, tour ambazo zilijaza mamilioni ya watu kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mwanamuziki yeyote....

Ila usisahau kama wazungu walimuwekea bob vikwazo kwahyo usitegemee kama angeweza kuuza nakala nyingi duniani au kupata tuzo za gramy au za tecno wereva
 
Hao ni WATU wawili tofauti,,,ni sawa NA KUMSHINDANISHA ANORD SWEZNIGER na ROWAN ATKINSON(MR BEEN)huyo anaigiza UBABE mwingine VICHEKESHO,,,hivi mpenzi wa MICHAEL JACKSON anayependa mizik ya SOUL...uje umwambiye mambo ya BOB MARLEY anayepiga REGGY mtaelewana kwl?MICHAEL JACKSON NI HATARI kwa music wake na hata mtunzi mzuri pia,, BOB MARLEY nae ni mzuri kwa music wake...lakini MICHAEL JACKSON alibeba DUNIA NZIMA,,,,the WACKO JACKO...View attachment 996824

Sent using Jamii Forums mobile app

Michael alikuwa anaimba pop na sio soul music
 
si kweli kabisa

Tuassume Michael Jackson alikufa 1994 ambapo alikuwa na umri sawa na ule Bob aliofariki akiwa nao...(miaka 36)

Mpaka mwaka 1994 ..Michael Jackson alikuwa ameshatoa album Kama Thriller, Bad, Off the wall, dangerous ...

Kati ya hizo album Hakuna hata moja inayofikiwa na album yeyote ile ya Bob marley kwa mauzo.

Mpaka mwaka 1994 Mj alikuwa ameshaweka rekodi ya kuchukua grammy nyingi zaidi ndani siku moja .........rekodi ambayo aliiweka mwaka 1984.

Mpaka 1994 alikuwa ameshatoa Video ya thriller ..video pekee ya muziki ambayo ipo kwenye maktaba ya taifa USA..

Mpaka 1994 Mj alikuwa ameshafanya Bad tour na Dangerous tour, tour ambazo zilijaza mamilioni ya watu kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mwanamuziki yeyote....

Stop this nonsense, kuna wanamuziki kibao wameuza copy nyingi kwa muda mfupi zaidi ya The Wailers, sasa kwa tafsiri unayokuja nayo ni kwamba Justin Bieber ni zaidi ya Bob Marley, au sio?
 
Kwa maudhui, revolutionary na heshima kwa hadhira hapo ni Bob Nesta Marley.

Kwa kuburudisha ni Wako Jacko hakuna ubishi.

Atakayepingana na hili lazima uje na data na hoja shawishi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Bob marley aliishi miaka 36 tu,na Michael jackson aliishi miaka 50 lakini Bob anakubalika na wengi kuliko MJ,

Bob ameendelea kua maarufu na kupendwa hata na kizazi kilicho kuja na kukuta kisha fariki,

Bob marley kafa miaka 37 iliyopita lakini utafikiri kafa miaka miwili nyuma tu!
Bob is still alive,

Namkubali MJ but Bob acheni aitwe Bob,nyimbo zake ni darasa tosha kabisa katika maisha ya kila siku.
Umeongea kiume. Big Up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maudhui, revolutionary na heshima kwa hadhira hapo ni Bob Nesta Marley.

Kwa kuburudisha ni Wako Jacko hakuna ubishi.

Atakayepingana na hili lazima uje na data na hoja shawishi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Umemaliza kila kitu mkuu nakuunga mkono kwa comment yako poa
 
Back
Top Bottom