Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Michael Jackson ni another level, tutabishana sana ila ukweli ndio huo. M.J hafananishwi na msanii yoyote. Ame-inspire vizazi na vizazi na bado ana-inspire. Tofauti na kudai mashairi ya Bob bado yanaishi mpaka sasa, hamna inspiration yoyote inayokana na yeye kwa siku hizi. Michael Jackson mpaka sasa bado "anaishi" kupitia watu kama kina Chris Brown, Bruno Mars na damcer yoyote yule ukimuuliza, inspiration yake lazima M.J yupo.
Na gender wise, Bob anakubalika kwa wamaume tena wachache wenye falsafa fulani ya kimaisha. M.J hana mipaka, wanawake, wanaume, watoto etc wote ndani ya nyumba wako inspired!
Bob yuko vizuri ila in general inapokuja kumlinganisha na M.J, kama ni mashindano, wazungu wanasema: M.J IS FAR BY A COUNTRY MILE AHEAD OF BOB.
 
Ukisoma vizuri comment yangu utaelewa ulichosema ww hakiko mbali na fikra zangu. MJ alikuwa mburuddishaji Zaidi BM alikuwa mwanaharakati..

Tukirudi kwenye nani alikubalika Zaidi ni lazima ukubali kundi la watu wanaopenda burudani ni kubwa Zaidi ya wale wanaopenda kuelimishwa hivyo hata ukiangalia matamasha mbalimbali na album walizouza utakubali kwamba MJ alikuwa mbali Zaidi ya BM. Na huo ni ukweli usiopingika
 
Ukisoma vizuri comment yangu utaelewa ulichosema ww hakiko mbali na fikra zangu. MJ alikuwa mburuddishaji Zaidi BM alikuwa mwanaharakati..

Tukirudi kwenye nani alikubalika Zaidi ni lazima ukubali kundi la watu wanaopenda burudani ni kubwa Zaidi ya wale wanaopenda kuelimishwa hivyo hata ukiangalia matamasha mbalimbali na album walizouza utakubali kwamba MJ alikuwa mbali Zaidi ya BM. Na huo ni ukweli usiopingika
 
Ukisoma vizuri comment yangu utaelewa ulichosema ww hakiko mbali na fikra zangu. MJ alikuwa mburuddishaji Zaidi BM alikuwa mwanaharakati..

Tukirudi kwenye nani alikubalika Zaidi ni lazima ukubali kundi la watu wanaopenda burudani ni kubwa Zaidi ya wale wanaopenda kuelimishwa hivyo hata ukiangalia matamasha mbalimbali na album walizouza utakubali kwamba MJ alikuwa mbali Zaidi ya BM. Na huo ni ukweli usiopingika
 
Ukisoma vizuri comment yangu utaelewa ulichosema ww hakiko mbali na fikra zangu. MJ alikuwa mburudishaji Zaidi ingawa pia hakuwa nyuma kwenye uelimishaji, BM alikuwa mwanaharakati yaani mwanmapinduzi haswa katika kipindi ambacho nchi nyingi zilikuwa zikitafuta uhuru..

Tukirudi kwenye nani alikubalika zaidi ni lazima ukubali kundi la watu wanaopenda burudani ni kubwa zaidi ya wale wanaopenda kuelimishwa hivyo hata ukiangalia matamasha mbalimbali na album nakala walizouza utakubali kwamba MJ alikuwa mbali zaidi ya BM. Na huo ni ukweli usiopingika. na hapa ndipo utakapopata zana ya nai anakubalika z
 
Mkuu uko mbali na dunia hii, ni bora kukaa kimya kuficha ujinga. Tafuta mashairi ya Buffalo soldier, kama hujui kingereza tafuta mtu akutafsirie.


KIPI HAPA KWA AKILI ZAKO UNAKIONA NI “DARASA” ?


Buffalo Soldier, dreadlock Rasta
There was a Buffalo Soldier
In the heart of America
Stolen from Africa, brought to America
Fighting on arrival, fighting for survival


I mean it, when I analyze these things
To me, it makes a lot of sense
How the dreadlock Rasta was the Buffalo Soldier
And he was taken from Africa, brought to America
Fighting on arrival, fighting for survival
Said he was a Buffalo Soldier, dreadlock Rasta
Buffalo Soldier, in the heart of America


If you know your history
Then you would know where you coming from
Then you wouldn't have to ask me
Who the heck do I think I am
I'm just a Buffalo Soldier
In the heart of America
Stolen from Africa, brought to America
Said he was fighting on arrival
Fighting for survival
Said he was a Buffalo Soldier
Win the war for America


Said he was a, woe yoy yoy, woe woe yoy yoy
Woe yoy yoy yo, yo yo woy yo, woe yoy yoy
Woe yoe yoe, woe woe yoe yoe
Woe yoe yoe yo, yo yo woe yo woe yo yoe


Buffalo Soldier, troddin' through the land woo ooh
Said he wanna ran, then you wanna hand
Troddin' through the land, yea, yea
Said he was a Buffalo Soldier
Win the war for America
Buffalo Soldier, dreadlock Rasta
Fighting on arrival, fighting for survival
Driven from the mainland
To the heart of the Caribbean


Singing, woe yoy yoy, woe woe yoy yoy
Woe yoy yoy yo, yo yo woy yo woy yo yoy
Woy yoy yoy, woy woy yoy yoy
Woy yoy yoy yo, yo yo woe yo woe yo yoy
Troddin' through San Juan


In the arms of America
Troddin' through Jamaica, a Buffalo Soldier
Fighting on arrival, fighting for survival
Buffalo Soldier, dreadlock Rasta
Woe yoe yoe, woe woe yoe yoe
Woe yoe yeo yo, yo yo woe yo woe yo yoe
 
Jamaa nimemuona ni dizaini kama choko Fulani hivi.. Bora mada angeiandika kabisa kwamba Maico ni zaidi ya Bob kuliko kuingizia maneno yake kama shoga huyo anaye mshabikia.
kubali yaishe tu
 
michael jackson mkali
dont care about us
stranger in moscow
ur not a lone
Thriller
Heal the world
 
Just Another Part Of Me. This Song Of MJ When You Listen Very Careful To It, There's Message That's Thrilling And Bestows Harmony Of This Planet We're Living. I Like The Song.
 
Aisee Bob naona amemzidi jacko ukianzia jinsi Bob alivyotoka Kule kijijini kwao mpk trench town king stone baadae america na kukubalika dunia nzima pia bob amefanya harakati za kupigania uhuru na heshima kwa watu weusi wakati jacko mzik tu, japo kimzik kila mtu ana kijiji chakeila kwangu Bob then michael
 
Siku nyingine mkianzisha uzi mwangalie na wa kuwalinganisha nao aisee, Bob ni habari nyingine haikupaswa kumvunjia heshima namna hii.

Msanii anayeimba muziki wa reggae pasipo kurudia melody hata moja na ana nyimbo zaidi ya 80 zote hazifanani melody. Hili ni jambo gumu mno kwenye muziki wa reggae, ila Bob Marley kaliweza.

Mwanamuziki ambaye ni philosopher pia, mwenye nyimbo zilizojaa maneno yenye hekima. Jumbe zilizoshiba.

Hadi anafariki alikuwa yupo kwenye hadhi ya juu, hadi hivi sasa hadhi yake haijashuka.

Ni tusi kumshindanisha na Wacko Jacko
 
Aisee
 
umaarufu Michael Jackson alitisha..alikujaga bongo shuleni na maofisini watu walitoroka kwenda kumuona
 
Wa enzi zetu tunaoamini katika pan Africanism Bob hana mpinzani. Shida alikuwa mvuta bangi na aliathiri vijana wengi enzi zile ila tunamsamehe kwa hilo: Nakumbuka mpaka sasa vibao vyake maarufu vya-
  • Africa Unite
  • Zimbabwe
  • Natural mystic
  • Redemption song
  • No woman no cry
  • One love
  • Stir it up
  • Bad card
Na hivyo vibao ni baadhi tu; mpaka leo ukivipiga unaguswa vilivyo na jumbe zilizomo. Namalizia na quote toka kwenye redemption song: "Emancipate yourself from mental slavery none but ourselves can free our minds".
 
Bob marley ni habari nyingine asee, hata kama umezaliwa akiwa tayari marehemu ukianza kusikiliza nyimbo zake utavutiwa sana na namna uandishi wake ulivokua umeshiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…