barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Michael Jackson ni another level, tutabishana sana ila ukweli ndio huo. M.J hafananishwi na msanii yoyote. Ame-inspire vizazi na vizazi na bado ana-inspire. Tofauti na kudai mashairi ya Bob bado yanaishi mpaka sasa, hamna inspiration yoyote inayokana na yeye kwa siku hizi. Michael Jackson mpaka sasa bado "anaishi" kupitia watu kama kina Chris Brown, Bruno Mars na damcer yoyote yule ukimuuliza, inspiration yake lazima M.J yupo.Mkuu rudi kasome upya...Mziki wa Bob Marley na wa Michael upi umesikilizwa zaidi duniani! Unachekesha sana. MJ ni mshereheshaji tu jukwaani na Bob ni philosopher. Mashairi ya Bob yanaishi. Leo hii nikikuambia uandike hata aya moja ya wimbo wa MJ yenye maana huwezi/huijui/haipo. Yule ni dancer tu.
Na gender wise, Bob anakubalika kwa wamaume tena wachache wenye falsafa fulani ya kimaisha. M.J hana mipaka, wanawake, wanaume, watoto etc wote ndani ya nyumba wako inspired!
Bob yuko vizuri ila in general inapokuja kumlinganisha na M.J, kama ni mashindano, wazungu wanasema: M.J IS FAR BY A COUNTRY MILE AHEAD OF BOB.