Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Mwanaume yoyote wa ukweli lazma amtangulize Bob Marley ndio afate wacko jacko. Otherwise utakuwa James delicious tuu
....... Hapa tunazungumzia perfomance nzima za wakali hawa katika nyaja ya mziki bila kutazama utofauti wa rangi, jinsia, dini, race wala chochote kile.

....... Hapa tunazungumza mambo ambayo ni halisia, yaani ule ukweli kabisa wa mambo ktk mziki wa waimbaji hao wawili hapa duniani.

....... Michael Jackson alikuwa ni mtu mwingine na endapo asingetofautiana na watu ambao walimsuka tangu akiwa kijana na akafa ktk heshima yake ya kimziki basi huenda mpaka sasa watu wangekuwa wanaingia ukumbini kwa kiingilio ili tu kusikilza nyimbo zake huku wakivuta picha ya Michael Jackson pale jukwaani.
 
Asee nimeufuatilia huu Uzi kimya kimya tangia mwanzo na sikutaka kuchangia chochote but nimejikuta nalazimika tu.

Anyways, nianze kwa kutangaza interests zangu kwamba Mimi Shabiki mkubwa wa wote hawa hivyo sitegemei maandishi yangu kuwa na upendeleo wa upande wowote.

Nikianza na MJ who was considered to be "The instrument of the world" in case of entertainment.. mj alikuwa the best entertainer to ever walk in this world...alikuwa anajua kucompose mziki wa kuburudisha na kuinspire watu kwa namna ya ajabu sana. Michael Jackson is truly definition of a musical genius..anajua kucheza, anajua kuimba, anajua kuprovoke hisia za hadhira yake ndio maana akiwa mtoto kabisa alikweza kuwa star wa band ya nyumbani kwao ya Jackson 5, Kuna kitu hatuwezi kumnyanganya Michael he was a musical genius and natural talented yake.. Alipata pia bahati ya kukulia Kwenye spotlight na platform kubwa za kimziki kama MTV, BET, e.t.c, world class music facilities, great producers and directors akina Quincy Jones e.t.c kutoboa kwake na kurindima dunia nzima kulikuwa hakuepukiki.

But Bob Marley alienda mbele zaidi ya kuwa musical genius zaidi ya MJ, alikuwa na kipawa cha unabii ndani yake kama nyongeza yake..mazingira aliyozaliwa na kukulia yalikuwa magumu na hatari kufanikiwa kimziki na kimaisha..alizaliwa baada ya mama yake kubakwa na mkoloni mzungu Sinclair Marley then akatelekezwa yeye na mama yake pale Kingston Jamaica wasijue la kufanya hapa ndipo "No woman no cry" ikatengenezewa.. He was born fatherless. Akawa Fundi welding na baadae msoma viganja vya watu ili kuganga njaa then akaachana navyo na kujiunga na Peter tosh na Bunny wailer kufanya music then yaliyofuata ni history tamu ya kazi nzuri zisizosahaulika milele.

Bob alikuwa na charismatic ya kuongea jambo likapokelewa kwa nguvu ya ajabu na watu..rejea aliweza kusimamisha vita iliyokuwa inataka kuibuka Jamaica kwa kuanzisha concert ya one love iliyowafanya maadui wa kisiasa wakawambia wafuasi wao waweke silaha chini wakaja pamoja jukwaani na kuanza safari mpya ya amani na Upendo..likapigwa riddim la love and prosperity all day long pale kwenye concert.. That's was huge success ya reggae na Marley kwa ujumla.

Sikia na hii hapa tena!, Nyimbo ya Bob natural mystic ilipewa tuzo ya kuwa song of the century kutokana na mashairi yake kutabiri ujio wa ugonjwa wa ajabu utakaotesa watu na kuua mamilion Duniani soon baada ya ngoma kutoka Ukimwi ukagundulika Afrika na kuanza kuua maelfu ya watu na unabii wake ukatimia. Nitajadili nyimbo hii kwenye reply inayofuata hapo chini.

Then nyimbo zake nyingi zinatumika katika vyuo mbalimbali kucites cross cutting ishu za philosophy and musicology. This is not simple.

Mwl Nyerere alishawai kumdharau Bob kutokana na muonekano wake kama sisi tunavyomdharau hapa ila Kwenye tamasha la Uhuru wa Zimbabwe Bob alipopanda jukwaani kufanya Sanaa zake Mwl alimwomba aje Tanzania maana kuna Mengi alikuwa anataka kuyasema lakini alikuwa hana lugha nyepesi na ya kueleweka kirahisi kwa watu ila Bob alikuwa anajua hii namna then na kipindi hicho agenda kuu ya Nyerere, Nkurumah, Kaunda e.t.c na afrika yote ilikuwa ni "Africa unite" na Bob ndio ilikuwa dhumuni lake...siku hiyo Mwl Nyerere alishangaa hadi akaenda kumsimulia mwanae makongoro na akaanza kuwa anakula reggae tu za Marley akiwa magogoni..but sina hakika kama alikuwa anakula na sacrament ya akina Marley.. (Weed)...sina hakika.

Bob ana mengi sana tutajaza serve za Max bure.

But wote ni musical genius in their own way but Bob Marley alikuwa na some touch za unabii anaongea jambo then linatokea na amefanya mziki katika mazingira magumu sana ya kutaka kuuwawa na CIA because he was musical powerful. Na walifanikiwa kumpachika cancer kidoleni na aliemuua alikiri last month nadhani akiwa death bed kwamba I killed Bob Marley.

Bob and MJ are truly definition of musical genius.
Mkuu umeongea mengi ya kusimumua, ukipata muda naomba utumwagie na matukio makubwa na Michael Jackson.
 
Mimi Mpenzi Wa Reggae Lakini Mziki Wa Michael Jackson Ulikuwa Ni Another Level.
Ndio Maana Ni Miongoni Mwa Watu Wa Zamani I Wenye Covers Nyingi .

Pia, Hakuna Msanii Mpaka Kesho Anamfikia Kwa Kujaza Ukumbi Wa Mpira Mpaka Nje, Imagine Watu Wanazimia Kwa Kukosa Hewa Sometimes Anakuja Kwa Parachute Kwa Maana Hamna Sehemu Ya Kukanyaga.

Kwa Kuuza Album Ile Ya Thriller Bhado Record Yake Haijavunjwa Mpaka Leo.

Hakuna Msanii Aliye Wahi Kushika Hisia Za Watu On Stage Kama MJ. It Reaches A Point Watu Wanazimia, Wanalia Non Stop Wengine Hawatoki Stage Wakiitwa Kucheza Nae, Ambulance Zilikuwa Zinaletwa Nyingi Kutokana Na Watu Kuwa Over Obsessed With His Music .
Inatosha mkuu
 
Unapozungumzia kukubalika hakuna mwanamuziki aliewahi kukubalika duniani kote na kupendwa kama Michael Jackson,ukweli kuwa hit songs zake zilikuwa zinaingia top ten katika nchi tofauti kwenye mabara tofauti,ukweli kuwa show zake zilikuwa zinajaza mpaka kutapika katika nchi tofauti na mabara tofauti,ukweli kuwa maisha yake yalikuwa yanaleta mgawanyiko wa kimawazo katika nchi tofauti tofauti na mabara tofauti,ukweli kuwa muziki wake ulikuwa unaimbwa na kueleweka na watoto,wadada,wamama na wababa, ukweli kuwa nyota ya umaarufu ilianza kumfuata akiwa na miaka chini ya kumi,(kimsingi umaarufu ndio ulimpenda, kumtafuta,kumfuata na kuambatana na Michael na wala hakuutafuta kiivyo kwani Michael mwenyewe alikuwa mtu wa aibu sana nje ya jukwaa lamuziki).Ukweli kuwa kifo chake kiliushtua zaidi ulimwengu kiasi kuwa mtandao wa google uliripotiwa kustack kwa muda kwa idadi kubwa mno ya watu walioingia mtandaoni kutafuta habari zake!
kweli zote hizo na nyingine nyingi zinamfanya Michael asiwe na upinzani kwani aliunyanyua muziki na kuupeleka level za juu kabisa kiasi kuwa wasanii wote waliofuata baada yake walikuwa ama wanalinganishwa ama wanataka kulingana nae mfano Chriss Brown.
Bob Marley ana heshima zake pia,kwani aliupa umaarufu kiasi muziki wa reggae ingawa hata hivyo waliouelewa walikuwa wachache sana kwa wakati huo, kimsingi jinsia ya kike hawakuuelewa kihivyo(kumbuka jinsia ya kike ni mojawapo ya vigezo visivyo rasmi vinavyoongeza umaarufu wa wasanii kwa ushabiki wao uliojaa mahaba).Muziki wake ulikuwa mzuri ingawa aliimba kivivu vivu,mi binafsi namkubali zaidi Lucky Dube anachangamsha na ujumbe mzito zaidi kuliko Marley.kwangu Michael alikuwa anakubalika zaidi kuliko Marley,ingawa kimsingi tunapaswa kushukuru kuwa hawa watu wawili walipita katika ulimwengu huu na kutuachia kumbukumbu na alama za kukumbukwa sana.
Asiyekugongea LIKE ana matatizo.

Nimependa hapo uliposema Google ilistak kwa ajili msiba wa Michael.
 
Hebu kasikilize wimbo wa bob unaoitwa Redamption song.(kama sijakosea,unahusu uhuru wetu watu weusi).Nipo tayari kwa marekebisho wakuu.
Dah mkuu umenikumbusha "emencipate yourself from mental slavery, non but ourself can free our minds, have no fear for the atomic energy, cause non of them can stop the time..."
 
Michael Jackson alitokea kukubalika na wapenzi wengi wa muziki kwanza aina ya muziki wake ni pendwa zaidi, alikuwa anaburudisha sana jukwaani, alikuwa pia anajitolea kwa jamii yote. mfano mzuri ebu angalia shows mbalimbali zilizofanywa na MJ sehemu tofauti duniani utapata jibu haraka.

Bob Marley alikuwa mwanaharakati na aina ya muziki wake ni sehemu ndogo ya jamii ilikuwa inaukubali sana mpk sasa iko hivyo.. kwa kifupi hakufocus kuburudisha bali kuleta mapinduzi kuona jamii yote inakuwa sawa
Mkuu rudi kasome upya...Mziki wa Bob Marley na wa Michael upi umesikilizwa zaidi duniani! Unachekesha sana. MJ ni mshereheshaji tu jukwaani na Bob ni philosopher. Mashairi ya Bob yanaishi. Leo hii nikikuambia uandike hata aya moja ya wimbo wa MJ yenye maana huwezi/huijui/haipo. Yule ni dancer tu.
 
Kwa mfano nini Bob aliimba ambacho ni darasa katika maisha ya kila siku, Buffalo Soldier?
Mkuu uko mbali na dunia hii, ni bora kukaa kimya kuficha ujinga. Tafuta mashairi ya Buffalo soldier, kama hujui kingereza tafuta mtu akutafsirie.
 
Asee nimeufuatilia huu Uzi kimya kimya tangia mwanzo na sikutaka kuchangia chochote but nimejikuta nalazimika tu.

Anyways, nianze kwa kutangaza interests zangu kwamba Mimi Shabiki mkubwa wa wote hawa hivyo sitegemei maandishi yangu kuwa na upendeleo wa upande wowote.

Nikianza na MJ who was considered to be "The instrument of the world" in case of entertainment.. mj alikuwa the best entertainer to ever walk in this world...alikuwa anajua kucompose mziki wa kuburudisha na kuinspire watu kwa namna ya ajabu sana. Michael Jackson is truly definition of a musical genius..anajua kucheza, anajua kuimba, anajua kuprovoke hisia za hadhira yake ndio maana akiwa mtoto kabisa alikweza kuwa star wa band ya nyumbani kwao ya Jackson 5, tukubaliane kuna kitu hatuwezi kumnyanganya Michael he was a musical genius and akibebwa zaidi na ile natural talent yake.. Alipata pia bahati ya kukulia Kwenye spotlight na platform kubwa za kimziki kama MTV, BET, e.t.c, world class music facilities, great producers and directors akina Quincy Jones e.t.c kutoboa kwake na kurindima dunia nzima kulikuwa hakuepukiki.

But Bob Marley alienda mbele zaidi ya kuwa musical genius zaidi ya MJ, alikuwa na kipawa cha unabii ndani yake kama nyongeza yake..mazingira aliyozaliwa na kukulia yalikuwa magumu na hatari kufanikiwa kimziki na kimaisha..alizaliwa baada ya mama yake kubakwa na mkoloni mzungu Sinclair Marley then akatelekezwa yeye na mama yake pale Kingston Jamaica wasijue la kufanya hapa ndipo "No woman no cry" ikatengenezewa.. Being born fatherless. Hakuwa na namna akajikuta anakuwa Fundi welding na baadae msoma viganja vya watu ili kuganga njaa then akaachana navyo na kujiunga na Peter tosh na Bunny wailer kufanya music then yaliyofuata ni history tamu ya kazi nzuri zisizosahaulika milele.

Bob alikuwa na charismatic ya kuongea jambo likapokelewa kwa nguvu ya ajabu na watu..rejea aliweza kusimamisha vita iliyokuwa inataka kuibuka Jamaica kwa kuanzisha concert ya one love iliyowafanya maadui wa kisiasa wakawambia wafuasi wao waweke silaha chini wakaja pamoja jukwaani na kuanza safari mpya ya amani na Upendo..likapigwa riddim la love and prosperity all day long pale kwenye concert.. That's was huge success ya reggae na Marley kwa ujumla Duniani.

Sikia na hii hapa tena!, Nyimbo ya Bob natural mystic ilipewa tuzo ya kuwa song of the century kutokana na mashairi yake kutabiri ujio wa ugonjwa wa ajabu utakaotesa watu na kuua mamilion Duniani soon baada ya ngoma kutoka Ukimwi ukagundulika Afrika na kuanza kuua maelfu ya watu na unabii wake ukatimia. Nitajadili nyimbo hii kwenye reply inayofuata hapo chini.

Then nyimbo zake nyingi zinatumika katika vyuo mbalimbali kucites cross cutting ishu za philosophy and musicology. This is not simple.

Mwl Nyerere alishawai kumdharau Bob kutokana na muonekano wake kama sisi tunavyomdharau hapa ila Kwenye tamasha la Uhuru wa Zimbabwe Bob alipopanda jukwaani kufanya Sanaa zake Mwl alimwomba aje Tanzania maana kuna Mengi alikuwa anataka kuyasema lakini alikuwa hana lugha nyepesi na ya kueleweka kirahisi kwa watu ila Bob alikuwa anajua hii namna then na kipindi hicho agenda kuu ya Nyerere, Nkurumah, Kaunda e.t.c na afrika yote ilikuwa ni "Africa unite" na Bob ndio ilikuwa dhumuni lake na bahati nzuri alikuwa anajua lukiwasilisha kwa lugha nzuri na inayoeleweka na wote kirahisi na kugusa hisia zao za ndani zaidi....siku hiyo Mwl Nyerere alishangaa hadi akaenda kumsimulia mwanae makongoro na akaanza kuwa anavurumusha reggae tu za Marley akiwa magogoni..but sina hakika kama alikuwa anakula na sacrament ya akina Marley.. (Weed)...sina hakika.

Bob ana mengi sana tutajaza serve za Max bure.

But wote ni musical genius in their own way but Bob Marley alikuwa na some touch za unabii anaongea jambo then linatokea na amefanya mziki katika mazingira magumu sana ya kutaka kuuwawa na CIA because he was musical and philosophical powerful. Na walifanikiwa kumpachika cancer kidoleni na aliemuua alikiri last month nadhani akiwa death bed kwamba I killed Bob Marley.

Bob and MJ are truly definition of musical genius but Bob was ahead of time.
Mkuu unaakili sana. Nashukuru Mungu kwa kukupa muda wa kuandika yote haya. Kwa mwenye akili mada hii itakuwa imefungwa hapa.
 
Marley naye ana nafasi yake kubwa sana ktk muziki ila TAFADHARINI, M.J ni zaidi ya kila mwanamuziki duniani. Hamna mjadala hapo.
 
Bob Marley Lyrics

"Natural Mystic"

There's a natural mystic blowing through the air;
If you listen carefully now you will hear.
This could be the first trumpet, might as well be the last:
Many more will have to suffer,
Many more will have to die - don't ask me why.

Things are not the way they used to be,
I won't tell no lie;
One and all have to face reality now.
'Though I've tried to find the answer to all the questions they ask.
'Though I know it's impossible to go livin' through the past -
Don't tell no lie.

There's a natural mystic blowing through the air -
Can't keep them down -
If you listen carefully now you will hear.

There's a natural mystic blowing through the air.

"This could be the first trumpet, might as well be the last:
Many more will have to suffer,
Many more will have to die - don't ask me why." Hapa anakwambia hili linaweza kuwa parapanda la kwanza na la mwisho.. Jinsi tutakavyoteseka..jinsi tutakavyokufa..usiniulize ni kwanini" soon baada ya hii verse ngoma ikaanza kuua watu afrika vibaya.

There's a natural mystic blowing through the air -
I won't tell no lie;
If you listen carefully now you will hear:
There's a natural mystic blowing through the air.
Such a natural mystic blowing through the air;
There's a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air.

Tafuta hii ngoma uisikilize kwa umaskini ndo utajua bob alikuwa anaimba maneno yenye unabii wa kimafunuo ndani yake.

Huyu mvuta bangi mwacheni tu jamani...he was so much underrated for so long
Mkuu wape na ile ' Ride Natty Ride' hapa alitabiri ugonjwa wa ukimwi.
 
Wote Wakali..Kila mmoja kwa nafasi yake kutokana na aina ya muziki..

Ila kwa kua mwisho wa siku mtoa hoja anataka jibu la "Nani zaidi"...Hapa inabidi kila mtu ajifanyie Litmus Test, kwa kujiuliza:

1. Mara nyingi husikia nyimbo za nani kati yao.

2. Mara ya mwisho kusikia nyimbo zao, ilikua ni ya nani kati yao.

...
Hapo utapata jibu mujarrab kabisa..

Kwa upande wangu, kwa vigezo tajwa...Bob is the Best.
 
Mkuu rudi kasome upya...Mziki wa Bob Marley na wa Michael upi umesikilizwa zaidi duniani! Unachekesha sana. MJ ni mshereheshaji tu jukwaani na Bob ni philosopher. Mashairi ya Bob yanaishi. Leo hii nikikuambia uandike hata aya moja ya wimbo wa MJ yenye maana huwezi/huijui/haipo. Yule ni dancer tu.
Bob aliwahi kutunga mstari wa nyimbo akiwa jukwani pale Zimbabwe..kwenye concert ya Uhuru wa Zimbabwe lilitokea tafrani mabomu yakavurumushwa watu wakakimbia then Bob pekee akabaki jukwaani huku akiimba bila back vocal singer wala guitarist. Wanaomjua wanakwambia Bob alikuwaga hana kitu kinaitwa uoga ndio maana alipopandikizwa kansa alitakiwa akatwe kidole ili aishi lakini yeye akaopt kukubali kufa miezi kadhaa ijayo mbele.

Pia Kwenye ambush in the night alikaa tu kwenye kiti zikapigwa risasi kama 30 lakini iliishia kumjerui moja tu mkononi mwake na kesho yake akaenda kwenye tamasha kubwa zaidi la smile Jamaica akasimamisha vita vya wenyewe kwa wenyewe pale Jamaica na mahasimu wawili kisiasa wakaungana then peace and prosperity ya Jamaica ikazaliwa tena...hadi hapo wajamaica wanamuheshimu sana Marley. Very brave. Fearless, full of love, and respect.

Anyways, tuendelee na story ya Zimbabwe.

Then hali ilipotulia wakarudi jukwaani Bob akaongeza mstari ukisema hivi.."Now we see who is the real revolutionary coz I wanna be treated by mercenary." Mstari ukisema kwamba tumeona nani ana kiu ya Mapinduzi na yeye ana haki ya kuonekana kama askari wa kukodiwa na wengine waliokimbia ni waoga wa kudai Uhuru na haki zao.

Nyerere akabaki kapigwa butwaa tu. Anashangaa mvuta bangi akimkosha kwa uzuri wa kutosha.
 
Bob aliwahi kutunga mstari wa nyimbo akiwa jukwani pale Zimbabwe..kwenye concert ya Uhuru wa Zimbabwe lilitokea tafrani mabomu yakavurumushwa watu wakakimbia then Bob pekee akabaki jukwaani huku akiimba bila back vocal singer wala guitarist. Wanaomjua wanakwambia Bob alikuwaga hana kitu kinaitwa uoga ndio maana alipopandikizwa kansa alitakiwa akatwe kidole ili aishi lakini yeye akaopt kukubali kufa miezi kadhaa ijayo mbele. Pia Kwenye ambush in the night alikaa tu kwenye kiti zikapigwa risasi kama 30 lakini iliishia kumjerui moja tu mkononi mwake na kesho yake akaenda kwenye tamasha kubwa zaidi la smile Jamaica akasimamisha vita vya wenyewe kwa wenyewe pale Jamaica na mahasimu wawili kisiasa wakaungana then peace and prosperity ya Jamaica ikazaliwa tena...hadi hapo wajamaica wanamuheshimu sana Marley. Very brave. Fearless, full of love, and respect.

Anyways, tuendelee na story ya Zimbabwe.

Then hali ilipotulia wakarudi jukwaani Bob akaongeza mstari ukisema hivi..Now we see who is the real revolutionary coz I wanna be treated by mercenary. Ukisema kwamba tumeona nani ana kiu ya Mapinduzi na yeye ana haki ya kuonekana kama askari wa kukodiwa na wengine waliokimbia ni waoga wa kudai Uhuru na haki zao.

Nyerere akabaki kapigwa butwaa tu.
Alipomaliza kuimba ile Africa Unite, Nyerere(Mtu aliyeheshimika sana duniani) alinyanyuka na kumtafuta Bob kumpa mkono.
 
Back
Top Bottom