Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ifike muda tuachane na mambo ya kuwatafutia ubaya watu. Nape mwenyewe ni mhanga wa serikali iliyopita. Kumbuka hakuna mtu aliyethubutu kwenda kinyume na JPM enzi hizo. Nape hana kosa katika hilo. Labda ungeuliza hela za michango ya M4C zilikuwa kiasi gani na zimetumikaje.
Nape anakula sana jamani, mwonyeni, atapasuka tumboNapi huyu mtoto wa polofesa Marko wa Tukuyu?
Mama yake ni mtu wa Singida!Napi huyu mtoto wa polofesa Marko wa Tukuyu?
Unaweza kukuta hali sana.Kavimba tu.Nape anakula sana jamani, mwonyeni, atapasuka tumbo
Ndiyo tuambiwe tuhamie Burundi?Hakuna upinzani Tanzania
Bora lipasuke!Unaweza kukuta hali sana.Kavimba tu.
Sasa tutafanyajeNdiyo tuambiwe tuhamie Burundi?
Kataa kichaa na makopo yake.Ikatae CCM!Sasa tutafanyaje
Nape ni comedian wa kisiasa; kauli zake usizichukulie kwa uzito kivile!Wanasiasa wa Tanzania wana roho ngumu sana. Wapo tayari kulinda madaraka lakini siyo kulinda ndugu zao.
Mimi sikujua kama Nape ni mjomba wa Tundu Lisu; kama Nape na Lisu ni ndugu basi siasa imefika pabaya. Kwamba mjomba wako anapigwa risasi unashangilia? Kwamba Mama Samia aliweza kuwa na utu kuliko hata wajomba wa Lisu?
Tunao wanasiasa wanaishi kiadui sana kwa sababu tu ya tofauti ya vyama au kukosa uhuru wa kujiamulia mambo
Kwahiyo professor katoa boko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napi huyu mtoto wa polofesa Marko wa Tukuyu?