Ni wazi kuwa mambo ya maridhiano yamemshinda Rais Samia na sasa amemwachia Dr. Nchimbi masuala hayo. Inawezekana pia kuwa anamwachia makubwa zaidi kwa kujua au kutojua, anyway haijalishi.
Hivi karibuni Dr. Nchimbi ameonekana kwenye picha na mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya walioko Tanzania kufuatia kikao ambacho kinaonekana kilikuwa cha kisiasa zaidi na bila shaka kilikuwa kikao kizito sana.
Dr. Nchimbi ameanza kuangaliwa kama mtu anayeandaliwa kuwa rais wa Tanzania. Ana historia na wasifu unaotosha kwa cheo hicho. Pia hadi sasa msimamo wake kuhusu demokrasia nchini unaonekana kuwa wa wastani na wenye kutaka maridhiano, lakini atakuwa mkweli kwa demokrasia atakapopata wadhifa wa juu wa nchi yetu? Naweza kusema Nchimbi ana harufu ya demokrasia, ila yupo wrong party.