Utakuwa ni uwongo kuamini ndani ya chama wote hawapendi maridhiano. Shida ni wale wenye nguvu hawapo tayari kwa maridhiano wakiungwa mkono na machawa ambao wanakula keki ya taifa. Wanaogopa maridhiano kwa kuogopa kupoteza madaraka.Ni wazi kuwa mambo ya maridhiano yamemshinda Rais Samia na sasa amemwachia Dr. Nchimbi masuala hayo. Inawezekana pia kuwa anamwachia makubwa zaidi kwa kujua au kutojua, anyway haijalishi.
Hivi karibuni Dr. Nchimbi ameonekana kwenye picha na mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya walioko Tanzania kufuatia kikao ambacho kinaonekana kilikuwa cha kisiasa zaidi na bila shaka kilikuwa kikao kizito sana.
Dr. Nchimbi ameanza kuangaliwa kama mtu anayeandaliwa kuwa rais wa Tanzania. Ana historia na wasifu unaotosha kwa cheo hicho. Pia hadi sasa msimamo wake kuhusu demokrasia nchini unaonekana kuwa wa wastani na wenye kutaka maridhiano, lakini atakuwa mkweli kwa demokrasia atakapopata wadhifa wa juu wa nchi yetu? Naweza kusema Nchimbi ana harufu ya demokrasia, ila yupo wrong party.
Kwamba ukipendwa na Mkapa na Lowassa ndio nini?Nchimbi amekuzwa na kukulia ndani ya chama na alipendwa sana na Mzee Mkapa na Lowassa
Ni mwanasiasa aliyeiva
Nyota yake inang’araKwamba ukipendwa na Mkapa na Lowassa ndio nini?
Kwa kusifiwa na Mkapa?! 😂😂Nyota yake inang’ara
Sijui kama ulihariri kabla hujapost, maana sio rahisi mtu kuelewa umeandika nini.Ni wazi kuwa mambo ya maridhiano yamemshinda Rais Samia na sasa amemwachia Dr. Nchimbi masuala hayo. Inawezekana pia kuwa anamwachia makubwa zaidi kwa kujua au kutojua, anyway haijalishi.
Hivi karibuni Dr. Nchimbi ameonekana kwenye picha na mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya walioko Tanzania kufuatia kikao ambacho kinaonekana kilikuwa cha kisiasa zaidi na bila shaka kilikuwa kikao kizito sana.
Dr. Nchimbi ameanza kuangaliwa kama mtu anayeandaliwa kuwa rais wa Tanzania. Ana historia na wasifu unaotosha kwa cheo hicho. Pia hadi sasa msimamo wake kuhusu demokrasia nchini unaonekana kuwa wa wastani na wenye kutaka maridhiano, lakini atakuwa mkweli kwa demokrasia atakapopata wadhifa wa juu wa nchi yetu? Naweza kusema Nchimbi ana harufu ya demokrasia, ila yupo wrong party.
Moja Takatifu la Mitume 😂😂Kwa kusifiwa na Mkapa?! 😂😂