Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Posho ya Kvant imetoka leo?Izo NDIO point. Mmebaki nazo mbona pumba tu hata Kama Una kila kitu huwez maliza shida zako mwenyewe ingekua ivyo marekan asinge agiza bidhaa China
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri fuatilia kwa ukaribu ili upate ukweli. Pale kuna mnunuzi ambae anatafuta msafirishaji. Sisi Tz mpaka sasa hatuna Cargo Airflight. Sisi tunapata faida ya grounding fees.Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zipo
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Umedadavua vyema mkuu, ila hata hizo ndege zinazobeba mfano Rwanda air siyo cargo ile kwa jinsi nilivyoiona labda kama sikuiona vizuriNafikiri fuatilia kwa ukaribu ili upate ukweli. Pale kuna mnunuzi ambae anatafuta msafirishaji. Sisi Tz mpaka sasa hatuna Cargo Airflight. Sisi tunapata faida ya grounding fees. Huwezi lazimisha tusafirishe kama Rwanda au Ethiopia wana mkataba na mnunuzi. Ndio maana awali minofu ilikuwa inaenda kenya kwa gari alafu inapakiwa kwenye ndege. Usipende laumu kila kitu.
Hili limejadiliwa karibu wiki mbili zilizo pita we ulikuwa wapiHivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zipo
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Izo NDIO point. Mmebaki nazo mbona pumba tu hata Kama Una kila kitu huwez maliza shida zako mwenyewe ingekua ivyo marekan asinge agiza bidhaa China
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Kama hujapata au huja-secure route ya kibiashara tuamue tu kupeleka ndege huko?? Duh...Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zipo
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Sisi hatuna Cargo. Wenzetu wanazo. Na zaidi ya hayo hatuja zibadilisha ndege zetu kubeba mizigo. Tumia akili kidogo mpinzani wa Magufuli.Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zipo
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Unataka zikamatwe kwa madeni ?Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zipo
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
We dogo ni mpumba.vu. Nadhani huna uweko wa ufahamu kujibu point ya jamaa. Umekimbilia kuzungumzia Marekani na China. Unajua habari za demand na supply? Haya ufunzwe kidogo, demand ikiwa kubwa kuliko supply - unalazimika ku-import bidhaa hiyo. Marekani na China hazifanyiani hisani (nina hakika hujui zina vita kibiashara).
Rwanda ana ndege zisizo nyingi kuliko zetu. Ndege inayobesha samaki ni ya abiria (baada ya kufanyiwa configuration). Na sisi tuna ndege za ukubwa huo. Toa facts umjibu jamaa kwanini jambo hili liko hivo!
Acha bla blah na maneno ya khanga!!
Ni kweli mnaweza kufungua viti mkapakia mizigo. Lakini jambo la msingi ni mnunuzi awe na mkataba na nyie kumbebea mzigo. Ila kuwa na Cargo flights ni jambo la msingi kusafilisha mizigo.Umedadavua vyema mkuu, ila hata hizo ndege zinazobeba mfano Rwanda air siyo cargo ile kwa jinsi nilivyoiona labda kama sikuiona vizuri
Rwandair wana ndege 12 vs ATCL wana ndege 10.
Mbona hilo liko wazi tatizo ni kibali cha ndege za ATCL kwenda ulaya!! Kwani kipindi hiki cha corona IATA, iriruhusu hata ndege za abiria zinaweza kugeuzwa na kubeba mizigo.Nafikiri fuatilia kwa ukaribu ili upate ukweli. Pale kuna mnunuzi ambae anatafuta msafirishaji. Sisi Tz mpaka sasa hatuna Cargo Airflight. Sisi tunapata faida ya grounding fees. Huwezi lazimisha tusafirishe kama Rwanda au Ethiopia wana mkataba na mnunuzi. Ndio maana awali minofu ilikuwa inaenda kenya kwa gari alafu inapakiwa kwenye ndege. Usipende laumu kila kitu.
Inawezekana hizo ndege ni za Tanzania ila zimekabidhiwa zitumike kwa nembo ya RwandAir ili kukwepa confiscation kutokana na madeni.Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zip
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?