Pamoja na Tanzania kununua ndege kwa matrilioni, samaki kutoka Mwanza, Tanzania, wanasafirishwa na ndege kutoka Rwanda na Ethiopia

Izo NDIO point. Mmebaki nazo mbona pumba tu hata Kama Una kila kitu huwez maliza shida zako mwenyewe ingekua ivyo marekan asinge agiza bidhaa China
 
Labda ni mipango tu mkuu,umewahi kujiuliza kwanini m/kiti wa chama kikuu cha upinzani haendi ikulu lkn Lipumba na mwenzake Mbatia wanagonga kopi ikulu wanavyotaka imefikia hatua mpaka jamaa wanawajua walinzi wa ikulu kwa majina.
 
Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO

Airbus IPO

Bombardier zipo


Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!

ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Nafikiri fuatilia kwa ukaribu ili upate ukweli. Pale kuna mnunuzi ambae anatafuta msafirishaji. Sisi Tz mpaka sasa hatuna Cargo Airflight. Sisi tunapata faida ya grounding fees.

Huwezi lazimisha tusafirishe kama Rwanda au Ethiopia wana mkataba na mnunuzi. Ndio maana awali minofu ilikuwa inaenda kenya kwa gari alafu inapakiwa kwenye ndege. Usipende laumu kila kitu.
 
Umedadavua vyema mkuu, ila hata hizo ndege zinazobeba mfano Rwanda air siyo cargo ile kwa jinsi nilivyoiona labda kama sikuiona vizuri
 
Izo NDIO point. Mmebaki nazo mbona pumba tu hata Kama Una kila kitu huwez maliza shida zako mwenyewe ingekua ivyo marekan asinge agiza bidhaa China

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani huna uweko wa ufahamu kujibu point ya jamaa. Umekimbilia kuzungumzia Marekani na China. Unajua habari za demand na supply? Haya ufunzwe kidogo, demand ikiwa kubwa kuliko supply - unalazimika ku-import bidhaa hiyo. Marekani na China hazifanyiani hisani (nina hakika hujui zina vita kibiashara).

Rwanda ana ndege zisizo nyingi kuliko zetu. Ndege inayobesha samaki ni ya abiria (baada ya kufanyiwa configuration). Na sisi tuna ndege za ukubwa huo. Toa facts umjibu jamaa kwanini jambo hili liko hivo!

Acha bla blah na maneno ya khanga!!
 
Kwa hiyo Kama hujapata r
Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO

Airbus IPO

Bombardier zipo


Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!

ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Kwa hiyo Kama hujapata au huja-secure route ya kibiashara tuamue tu kupeleka ndege huko?? Duh...
 

Rwandair wana ndege 12 vs ATCL wana ndege 10.
 
Umedadavua vyema mkuu, ila hata hizo ndege zinazobeba mfano Rwanda air siyo cargo ile kwa jinsi nilivyoiona labda kama sikuiona vizuri
Ni kweli mnaweza kufungua viti mkapakia mizigo. Lakini jambo la msingi ni mnunuzi awe na mkataba na nyie kumbebea mzigo. Ila kuwa na Cargo flights ni jambo la msingi kusafilisha mizigo.
 
Rwandair wana ndege 12 vs ATCL wana ndege 10.

Yes ndege 10 kwa ATCL ila kuna order ya ndege 2 airbus, Dreamliner 1, Dash 8 bombardier 1 na katika budget ya mwaka huu wamepanga kununua ndege ya mizigo. So yaweza kuwa na ndege 15 kama yote yatakuwa sawa just in a near future.

Kujibu swali la mtoa mada, ni kuwa ATCL haina kibali cha kutua huko anapopasema wakati Rwandair wanachokibali.
 
Mbona hilo liko wazi tatizo ni kibali cha ndege za ATCL kwenda ulaya!! Kwani kipindi hiki cha corona IATA, iriruhusu hata ndege za abiria zinaweza kugeuzwa na kubeba mizigo.
 
Rwandair ina route ya Kigali Brussels na kutoka Mwanza hadi Kigali vilevile Ethiopian Airlines wana route ya Addis Brussels na Kutoka Addis hadi Kilimanjaro. Kwa hali hiyo mashirika haya ni rahisi kubeba samaki hadi Brussels.

Amandla...
 
Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO

Airbus IPO

Bombardier zip

Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!

ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Inawezekana hizo ndege ni za Tanzania ila zimekabidhiwa zitumike kwa nembo ya RwandAir ili kukwepa confiscation kutokana na madeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…