Kwa hiyo sisi tuna kila kitu, halafu acha kulinganisha US na TZ, linganisha Burundi na TZ.Izo NDIO point. Mmebaki nazo mbona pumba tu hata Kama Una kila kitu huwez maliza shida zako mwenyewe ingekua ivyo marekan asinge agiza bidhaa China
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo nilijua jamaa ana point,lakin baada ya kusoma maelezo yako nimekubaliana na maelezo yako.Mimi pia nina shida ya kufanyia kazi kila jambo analoamua JPM lakini baadae namuelewa.Zikisafirishwa na dreamliner mnaanza oh ndege gani inaanza kusafirisha nyama ya mbuzi sijui nini; hivi nyie makamanda uchwara wa ufipa akili zenu zimekaaje lakini?
Kwa kipindi cha wiki mbili tumeshuhudia Rwandair ikisafirisha minofu ya samaki kutoka uwanja wa ndege wa Mwanza kwenda ulaya. Kwa nini tusitumie ndege zetu za ATCL ambazo zime-park tu? Charity begins at home!
Nchi imejaa mambo ya kienyeji mno kipindi hiki.Unataka zikapigwe kudu na yule mkulima wa sauzi?
Kwa hio hapo aliyeingia huo mkataba ni hao jamaa wa huko Brussels na Rwandair?Wewe kama mnunuzi, Utaingia mkataba na Airline company ambayo haina cargo flight ata moja? RwandAir anazo cargo flights kwahiyo case ya kuwa kwanini atcl haibebi izo fish ni kuwa mnunuzi ameamua kutumia RwandAir kwa vile yeye anangalia flexibility na reliability ya hio airline anayotaka ibebe mizigo yake btw atcl bado ni mchanga japo anakua kwa kasi kubwa na kuna sehemu bado hajawa licenced kutua na pia hana cargo flights
The likely imekuwa kubwa ya RwandAir kusecure hilo deal mana pia na route za ulaya kama Brussels
Inawezekana tu,hata majuzi kuna ndege za ATCL zimepeleka mizigo huko Comorro.
Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zip
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Siku dreamliner imebeba samaki mliongeaaaaaaa, hadi midomo ikapinda, zimebeba ndege za rwanda napo mnaongea tu. Hivi kipi chema machoni mwenuHivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zip
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
Hivi tunakwama wapi?
Dreamliner IPO
Airbus IPO
Bombardier zip
Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia!
ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?