Do you know the meaning of ''rent seekers''. Rostam kitaalam kabisa anaitwa rent seeker na siyo mfanyabishara. Google hayo maneno, kama unajua kiingereza na utakubali. Kwa kifupi hakuna kitu kipya hapa duniani. Watu kama kina Rostam wameshasumbua sana kwenye nchi zilizoendelea enzi wakiwa kwenye stage ya chini ya maendeleo kama yetu...Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi. Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi. Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri. Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali? kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Mavi. Sema ni mwizi sana.Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi. Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi. Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri. Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali? kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Tatizo au lawama dhidi yake zipo hapo kwenye tatizo la yeye au mfanyabiashara yeyote kupata hisa kubwa kuliko serikali.Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
Tatizo au lawama dhidi yake zipo hapo kwenye tatizo la yeye au mfanyabiashara yeyote kupata hisa kubwa kuliko serikali.
Mara nyingi watu kama yeye kwa kutumia watu wake wa mtandao wake ndani ya serikali hufanya udanganyifu wa makadirio ya thamani za kampuni au mradi, maliasili, au rasilimali za serikali.
Hapo ndipo tuhuma dhidi yake zinapojitokeza.
Kifupi anatuhumiwa kujipatia hizo kampuni kwa njia isoyo sahihi. Kuna tuhuma za udanganyifu.
Disclaimer: Nasema anatuhumiwa sijasema kuna ukweli katika tuhuma hizo.
Unawaamini watu gani ?Simuamini MU Iran yoyote au mpalestinA.sitakuja kumwamini kwanza ndo Wazee wa magendo madawa,mapembe,madini,watu n.k
Business Magnate.Do you know the meaning of ''rent seekers''. Rostam kitaalam kabisa anaitwa rent seeker na siyo mfanyabishara. Google hayo maneno, kama unajua kiingereza na utakubali. Kwa kifupi hakuna kitu kipya hapa duniani. Watu kama kina Rostam wameshasumbua sana kwenye nchi zilizoendelea enzi wakiwa kwenye stage ya chini ya maendeleo kama yetu...
Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi.
Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi.
Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri.
Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Tumlaumu kwa kutuwekea serikalini viongozi au wafanyakazi wa namna hiyo. Hapo ndipo zilipo lawama zake.Yaani tumlaumu mfanya biashara kwa connection zake na sio wanasiasa ambao kazi yao ni kupigania maslahi ya watanzania!! Kwanini hatulaumu wataalamu wetu
Hujui kitu wewe.Business Magnate.