Rostam Abdulrasul Azizi (born 21 August 1960) is a self-made Tanzanian billionaire, business magnate, economist and former politician. In 2013, according to Forbes Magazine he was the first Tanzanian dollar billionaire with a net worth of over 1 billion dollars, and according to Henley & Partners Africa wealth report 2022, was the only dollar billionaire in East Africa.Hujui kitu wewe.
Unajua maana ya business magnate ?Hujui kitu wewe.
Umedandia mada bila kwanza kuelewa rent seeker ni nani. Najua wabongo wengi huwa mnapenda sana kubishana kwa kutuia google...Rostam Abdulrasul Azizi (born 21 August 1960) is a self-made Tanzanian billionaire, business magnate, economist and former politician. In 2013, according to Forbes Magazine he was the first Tanzanian dollar billionaire with a net worth of over 1 billion dollars, and according to Henley & Partners Africa wealth report 2022, was the only dollar billionaire in East Africa.
Unajua maana ya rent seeker!Unajua maana ya business magnate ?
Nimebisha nini ? Zaidi ya mimi kuandika business magnate au akili yako imejiandaa kubisha bishaUmedandia mada bila kwanza kuelewa rent seeker ni nani. Najua wabongo wengi huwa mnapenda sana kubishana kwa kutuia google...
A rent seeker is an individual or group that manipulates public policy or economic conditions to gain wealth and profits without creating new, productive wealth, often through lobbying for government favors like subsidies or tariffs that disadvantage competitors. Examples include companies that lobby for regulatory capture to block new competition or government officials who charge bribes for essential services. This behavior is considered harmful to the economy because it shifts resources from productive activities to unproductive ones.Unajua maana ya rent seeker!
Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi.
Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi.
Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri.
Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Unatakiwa uelewe kilichoandikwa lakini na siyo ku-copy na ku-pasteA rent seeker is an individual or group that manipulates public policy or economic conditions to gain wealth and profits without creating new, productive wealth, often through lobbying for government favors like subsidies or tariffs that disadvantage competitors. Examples include companies that lobby for regulatory capture to block new competition or government officials who charge bribes for essential services. This behavior is considered harmful to the economy because it shifts resources from productive activities to unproductive ones.
Nielewe nini ambacho kipo nje ya hiyo tafsiri unachojua wewe ? Usijifanye mjanja sana kumbe mbele kizaUnatakiwa uelewe kilichoandikwa lakini na siyo ku-copy na ku-paste
Kama umeelewa basi ni vizuri sana.Nielewe nini ambacho kipo nje ya hiyo tafsiri unachojua wewe ? Usijifanye mjanja sana kumbe mbele kiza
Kutokujifunza kwa mtu kama Rostam, halafu ukajifunza kwa polepole ni matumizi mabaya ya akili.. nitaendelea kuwaambia wanangu wawe Rostam na sio Polepole; periodAnafanya makosa anapopanga kwa siri kama inavyodaiwa, nani awe kiongozi.
Magazeti yake ya Rai enzi zile, yalilenga kutimiza azma hiyo.
Na tunapoendelea kusikia mambo mengine zaidi, inaharibu taswira yake
Kutokujifunza kwa mtu kama Rostam, halafu ukajifunza kwa polepole ni matumizi mabaya ya akili.. nitaendelea kuwaambia wanangu wawe Rostam na sio Polepole; period
Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi.
Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi.
Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri.
Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi.
Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi.
Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri.
Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Akiwa vile anavyoona awe hawezi kuwa yeyote; we learn from the best and Rostam is one of the best kwenye wealth accumulation, business mind, na kama mwandishi alivyosema kwenye kuzifanya bishara zake ziwe wazi hata namna ya kumpin unakosa... ndiyo maana hata JPM alikosa namna ya kumpiga kwa kuwa jamaa yuko na bishara zilizo wazi sana.. na pia anafanya biashara dume - kwenye telecom, extractive , manufacturing nk nk sio biashara laini laini ambazo wabongo wengi tunaziweza.Never ever nimdanganye mtoto wangu afanane na mtu.
Awe vile anavyoona awe. Labda ana akili kuliko Albert Einstein? Nimwambie ajifunze upigaji, cha mno nini?
Times change and they have really changed....
Kuwa capitalist kaka, achana na mindset y ujamaa.. watu wanaenda kusomea namna ya kufanya tax planning na tax avoidance??? Ndiyo maana serikali za Africa nazo zinaendelea kujipanga kwenye hayo maeneo... lakini multinationals zote zinatupiga sana tu... na zinapiga hadi ulaya... mbona kawaida tuHakuna mfanyabiashara mzuri ilihali anahujumu uchumi kwa kila hila ...
Hapo hakuna mfanyabiashara ni kuna mnjanja janja tu.
Akiwa vile anavyoona awe hawezi kuwa yeyote; we learn from the best and Rostam is one of the best kwenye wealth accumulation, business mind, na kama mwandishi alivyosema kwenye kuzifanya bishara zake ziwe wazi hata namna ya kumpin unakosa... ndiyo maana hata JPM alikosa namna ya kumpiga kwa kuwa jamaa yuko na bishara zilizo wazi sana.. na pia anafanya biashara dume - kwenye telecom, extractive , manufacturing nk nk sio biashara laini laini ambazo wabongo wengi tunaziweza.