Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!

Hujui kitu wewe.
Rostam Abdulrasul Azizi (born 21 August 1960) is a self-made Tanzanian billionaire, business magnate, economist and former politician. In 2013, according to Forbes Magazine he was the first Tanzanian dollar billionaire with a net worth of over 1 billion dollars, and according to Henley & Partners Africa wealth report 2022, was the only dollar billionaire in East Africa.
 
Umedandia mada bila kwanza kuelewa rent seeker ni nani. Najua wabongo wengi huwa mnapenda sana kubishana kwa kutuia google...
 
Umedandia mada bila kwanza kuelewa rent seeker ni nani. Najua wabongo wengi huwa mnapenda sana kubishana kwa kutuia google...
Nimebisha nini ? Zaidi ya mimi kuandika business magnate au akili yako imejiandaa kubisha bisha
 
Unajua maana ya rent seeker!
A rent seeker is an individual or group that manipulates public policy or economic conditions to gain wealth and profits without creating new, productive wealth, often through lobbying for government favors like subsidies or tariffs that disadvantage competitors. Examples include companies that lobby for regulatory capture to block new competition or government officials who charge bribes for essential services. This behavior is considered harmful to the economy because it shifts resources from productive activities to unproductive ones.
 

Anafanya makosa anapopanga kwa siri kama inavyodaiwa, nani awe kiongozi.

Magazeti yake ya Rai enzi zile, yalilenga kutimiza azma hiyo.

Na tunapoendelea kusikia mambo mengine zaidi, inaharibu taswira yake
 
Unatakiwa uelewe kilichoandikwa lakini na siyo ku-copy na ku-paste
 
Suala la kusema Serikali haiwezi kufanya biashara ni mwanya mkubwa sana wa kuharibu. Unaposema Serikali isaidie huduma nyingine kama usalama, maji na elimu vipi kuhusu maslahi mapana ya Umma(public interests). Je maslahi hayo wafanyabiashara binafsi wanaweza kuyalinda kweli wakipewa uwanja huru?

Nimesikiliza hii voice note kwa makini na nilichokiona ni kama wafanyabiashara binafsi wanajiombea uwanja huru zaidi "fair business playground" tujiulize je wafanyabiashara wanafanya biashara zao kwa haki pasi na ubagazwaji na ubanangwaji wa maslahi mapana ya Umma?

Kwa nchi zinazoendelea bado Serikali ni kiungo kati muhimu Cha kufanya "regulation" wafanyabiashara wasiachiwe uhuru Moja kwa moja.
 
Anafanya makosa anapopanga kwa siri kama inavyodaiwa, nani awe kiongozi.

Magazeti yake ya Rai enzi zile, yalilenga kutimiza azma hiyo.

Na tunapoendelea kusikia mambo mengine zaidi, inaharibu taswira yake
Kutokujifunza kwa mtu kama Rostam, halafu ukajifunza kwa polepole ni matumizi mabaya ya akili.. nitaendelea kuwaambia wanangu wawe Rostam na sio Polepole; period
 
Kutokujifunza kwa mtu kama Rostam, halafu ukajifunza kwa polepole ni matumizi mabaya ya akili.. nitaendelea kuwaambia wanangu wawe Rostam na sio Polepole; period

Never ever nimdanganye mtoto wangu afanane na mtu.

Awe vile anavyoona awe. Labda ana akili kuliko Albert Einstein? Nimwambie ajifunze upigaji, cha mno nini?

Times change and they have really changed....
 
Mkuu vodacom ni ya CCM kama hujui.Rostam alitaka kuwadhulumu kama alivyofanya kwa channel ten na mali zingine za chama.unaweza usiamini lakini ndio fact hiyo.
 
Hakuna mfanyabiashara mzuri ilihali anahujumu uchumi kwa kila hila ...
Hapo hakuna mfanyabiashara ni kuna mnjanja janja tu.
 
Never ever nimdanganye mtoto wangu afanane na mtu.

Awe vile anavyoona awe. Labda ana akili kuliko Albert Einstein? Nimwambie ajifunze upigaji, cha mno nini?

Times change and they have really changed....
Akiwa vile anavyoona awe hawezi kuwa yeyote; we learn from the best and Rostam is one of the best kwenye wealth accumulation, business mind, na kama mwandishi alivyosema kwenye kuzifanya bishara zake ziwe wazi hata namna ya kumpin unakosa... ndiyo maana hata JPM alikosa namna ya kumpiga kwa kuwa jamaa yuko na bishara zilizo wazi sana.. na pia anafanya biashara dume - kwenye telecom, extractive , manufacturing nk nk sio biashara laini laini ambazo wabongo wengi tunaziweza.
 
Hakuna mfanyabiashara mzuri ilihali anahujumu uchumi kwa kila hila ...
Hapo hakuna mfanyabiashara ni kuna mnjanja janja tu.
Kuwa capitalist kaka, achana na mindset y ujamaa.. watu wanaenda kusomea namna ya kufanya tax planning na tax avoidance??? Ndiyo maana serikali za Africa nazo zinaendelea kujipanga kwenye hayo maeneo... lakini multinationals zote zinatupiga sana tu... na zinapiga hadi ulaya... mbona kawaida tu
 

Wabongo biashara zetu ni kwenda China na kuishia Kariakoo.

Ila pia fursa zinabanwa wanapeana watu kwa kujuana na mambo mengine
 
Umeongea vizuri sana. Kila mtu Ana mazuri yake na madhaifu yake pia.


Hata kibaka Anaweza kuokoka pia. Akawa mtu Mzuri.


Kimsingi Taifa lina wahitaji wa wekezaji.

Tatizo lina kuja ni pale serikali inapokua haina umakini kwenye kusimamia wa wekezaji.


Mfanyabiashara siku zote ujiangalia yeye kwanza atapata Nini sasa kama mbia amekaa kizembe Ataambulia Manyoya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…