Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!

Wabongo biashara zetu ni kwenda China na kuishia Kariakoo.

Ila pia fursa zinabanwa wanapeana watu kwa kujuana na mambo mengine
Ndiyo maana nakubaliana na mtoa hoja u kama kina Rostam waheshimiwe sana; buashara wanazofanya zote ziko controlled na wageni; ambapo inafanyika capital flight tu na inafanya GNP yetu iwe ndogo (hata kama GDP ni kubwa) - sasa tutaendelea vipi tusipozalisha kina Rostam wengi??? Ndiyo maana Magufuli alikuwa na ndoto ya mabilionea wa kibongo 100; unatwgemea tutawapata kwa kuchuuza nguo from China kuja bongo? Lazima watanzania wacontrol sekta mgumu kama gesi, madini, telecom, mafuta, viwanda vya kuzalisha capital goods nk nk.. sasa unamlaumje Rostam??? Kwenye nchi ambayo best taxpayers ni sekta ya Bank? Na Pombe??? Come on!
 
Hata ningekuwa ndiyo mm Rostam, naona kabisa kuna nchi inaongozwa na mtu aliyefeli form 4, naachaje kuiibia rasilimali zake??

kwani Rostam alianza kuiba leo? Mkapa pia alikuwa form 4? Kikwete je? tukubalitu jamaa ni big brain
 
Anafanya makosa anapopanga kwa siri kama inavyodaiwa, nani awe kiongozi.

Magazeti yake ya Rai enzi zile, yalilenga kutimiza azma hiyo.

Na tunapoendelea kusikia mambo mengine zaidi, inaharibu taswira yake

makosa gani? je wewe ukiwa na nguvu kama yake huwezi kufanya?
 
Sio rostam mfanyabiashara yoyote anapokuta mianya ya kunyoosha atanyoosha tu, hata nyinyi munaolalamika wengi wenu mukipita fursa ya kupiga pia mtapiga. acheni unafiki.
 
Rostam anarudisha hata kwa jamii na watu wenye mahitaji msaada wowote? Naomba kama unapicha picha anafanya hivyo
 
Mrsasimishaji wa haramu, asingekuwa ni mwanamtandao asingefika hapo
 
Kuna tofauti kati ya mfanyabishara na mwizi wa biashara, Rostamu ni mwizi kupitia biashara.
 
Endelea kuvuta Bangi jitoe fahamu zote, nenda kachukue posho haramu ya kishetani toka kwa ilibilisi mwizi jambazi wa Rasilimali za Nchi Rostam Aziz,
 
Rostam ni mwizi na mtesi wa lisu gerezani, laana zitamwandama mpaka ajutie ujambazi wake
 
Njaa zitakuua peleka mifano yako huko kwa chawarostam wenzako, huyo boss wako ni mwizi jambazi wa Rasilimali za Nchi angekuwa China mda huu angeshanyongwa
 
itoshe kusema Rostam Aziz ni mwizi jambazi wa Rasilimali za Nchi na mtesi mkuu wa Tundu lisu kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…