Huu ndiyo ukweli mchungu ambao watu hawataki kuusikia. RA ni Havard graduate aliye changanya utajiri wa marehemu baba yake kwenye sekta ya ngozi (hides and skin export) na ukaribu na wanasiasa wa Tanzania. Tuache wivu na Rostam, yupo Kenya, SA, South Sudan na Dubai na kote huko anafanya biashara kubwaPamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi.
Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi.
Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri.
Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Rostam hajaanza kupata pesa wakati wa samiaHata ningekuwa ndiyo mm Rostam, naona kabisa kuna nchi inaongozwa na mtu aliyefeli form 4, naachaje kuiibia rasilimali zake??
Umeongea kitu kikubwa sana ndugu macho_mdilikoDo you know the meaning of ''rent seekers''. Rostam kitaalam kabisa anaitwa rent seeker na siyo mfanyabishara. Google hayo maneno, kama unajua kiingereza na utakubali. Kwa kifupi hakuna kitu kipya hapa duniani. Watu kama kina Rostam wameshasumbua sana kwenye nchi zilizoendelea enzi wakiwa kwenye stage ya chini ya maendeleo kama yetu...
Mihan ni mkoa katika nchi ya IranSimuamini MU Iran yoyote au mpalestinA.sitakuja kumwamini kwanza ndo Wazee wa magendo madawa,mapembe,madini,watu n.k
Mwanzo alipata hela kwa kufanya biashara zake halali, lkn hivi sasa anamuibia sana huyu mwanamke kichwa naziRostam hajaanza kupata pesa wakati wa samia
Una akili fupi
You don’t know shitMwanzo alipata hela kwa kufanya biashara zake halali, lkn hivi sasa anamuibia sana huyu mwanamke kichwa nazi

Mkuu umetumwa auPamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi.
Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi.
Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri.
Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Ni Asset ya Nchi ,atunzwe.Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi.
Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi.
Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri.
Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Ni Asset ya Nchi ,atunzwe.
Jikite kwenye hoja acha povuTatizo lako hatukuamini hapa maana unaongea kinafiki na kichawa. Huu sio mjadala wa kisiasa ingependeza uendelee na uchawa kwenye topic za kizushi tuachie mambo ya msingi sisi. Nenda kamsifie Mama na ukalipwe kuweka kampeni za unyanyasaji wa wazalendo kama Lissu na ka support kutekwa na kuuliwa kwa vijana wetu kwasababu tu ya kumkosoa Mama. Nakuomba sana usiingie kwenye topic zangu kabisa wewe jinamizi
ChoiceVariable nakuomba usichangie topic zangu.Jikite kwenye hoja acha povu
Akili zile zile za kijamaa, huwezi kumtambua mwema au mwizi kwa namna anavyoongea vizuri majukwaani.Tatizo au lawama dhidi yake zipo hapo kwenye tatizo la yeye au mfanyabiashara yeyote kupata hisa kubwa kuliko serikali.
Mara nyingi watu kama yeye kwa kutumia watu wake wa mtandao wake ndani ya serikali hufanya udanganyifu wa makadirio ya thamani za kampuni au mradi, maliasili, au rasilimali za serikali.
Hapo ndipo tuhuma dhidi yake zinapojitokeza.
Kifupi anatuhumiwa kujipatia hizo kampuni kwa njia isoyo sahihi. Kuna tuhuma za udanganyifu.
Disclaimer: Nasema anatuhumiwa sijasema kuna ukweli katika tuhuma hizo.
Anajenga uchumi huku akiua na wengine kuwamwagia tindikali ? wakati anatuhumiwa kwa ufisadi na kuambiwa ajivue gamba ulikuwa bado kwenye kidumu na mfagio ?Akili zile zile za kijamaa, huwezi kumtambua mwema au mwizi kwa namna anavyoongea vizuri majukwaani.
Watu wa aina hii wanasaidia sana uchumi na kujenga hulka mpya za ushindani wa kibiashara. T
Tatizo la binadamu ni ubinafsi kwa maana ya kutaka apate yeye zaidi na wengine wakose.
Siamini kwamba Samia hawajali maskini kwa jinsi anavyojiweka karibu na matajiri. Anatanua wigo wa walipa kodi ili mapato serikalini yaongezeke na anafanikiwa katika kuwavuta kutoka mataifa mbalimbali.
Umezaliwa lini?Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi.
Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya hivyo. Hivyo tuache mabaya yake lakini kuna mazuri ya kujifunza pia. Ndiyo anapata advantage lakini share zake kwenye makapuni zipo wazi, viwanda vipo wazi.
Kuna wanasiasa sasa hivi wana biashara za siri lakini Rostam tumpe maua yake biashara zake tupende tusipende ni za wazi. Sasa tujiulize wakina Kikwete wote na Mwigulu na hata Samia wana makampuni ya sirisiri. Kuna mengi amesema mabaya ya serikali na katoa mawazo lakini Watanzania tunakumbuka visa tu badala ya kuchukuwa mazuri.
Amesema serikali iwekeze kutumia disapora, kaeleza umuhimu wa mahakama huru, kapinga kuruhusu kamari mitaani. Pamoja na kujua ukweli kwamba kuna makampuni kama ya alumasi na makaa ya mawe ambayo kapata share kubwa kwenye haya makampuni kuliko serikali lakini tatizo ni yeye au serikali?
kuna mfanya biashara gani angependa kupata share ndogo!!!. Hivyo hapa tuwe fair pamoja na matatizo jamaa ni genious kwa upande wa biashara. Dr Nshalla na Lissu nao ni ma genius kwenye sheria tujifunze kutoka kwa wenye vipaji badala ya kuweka mabaya tu
View: https://www.youtube.com/watch?v=XqhhDNKtrR0
Mwanzo alipata hela kwa kufanya biashara zake halali, lkn hivi sasa anamuibia sana huyu mwanamke kichwa nazi