Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!

Anajenga uchumi huku akiua na wengine kuwamwagia tindikali ? wakati anatuhumiwa kwa ufisadi na kuambiwa ajivue gamba ulikuwa bado kwenye kidumu na mfagio ?
Unaweza kuleta ushahidi wa moja kwa moja wa yeye kuua na kumwagia watu tindikali?. Punguza mihemko mkuu.
 


Kweli kabisa
 
Naunga mkono hoja, jamaa ni jiniasi!. Mimi nilimfahamu wakati wa Kagoda! Kagoda Haina Kesi, hawafikishwi Mahakamani Ng'o!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…