Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Hizi ni hesabu za kijinga sana kuwazuia CHADEMA kuandamana. Kwanza watazuia nini? Ni nchi ipi duniani watu hawaandamani?
WanaCCM wenzangu tutambue kuwa kama Kuna jambo CHADEMA ya Mbowe imefanikiwa ni kukubalika katika jumuiya za Kimataifa. Tutakosea sana kuzuia maandamano yake tena kwa kutumia vyombo vya Ulinzi na Usalama. Image yake duniani itatuletea shida sana.
Tumuige Uhuru Kenyatta ambaye Rails Odinga alipohamasisha maandamano nchi nzima kuelekea Kasarani, alichofanya ni kuwapa Ulinzi. Hakuna hata mende mmoja aliyekufa ama kudhurika. Tukikubali siasa za demokrasia basi tukubali na gharama yake. Tuache kuwatisha mara ohho aandamane na familia yake. Mliona wapi? Tuache woga wa Bure .
Kwani kumsikiliza kunaathiri nini? USA, Israeli, Urusi, Ufaransa nk. Watu wanaanndamana na demokrasia yao yote. Iwe sembuze Bongo? Mimi nitaandamana kumuunga mkono.