Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Chenge kila dili linalohusisha fedha lazima awepo kama bado ni kijana, atakapokuwa mtu mzima atakuwa very rich.
 
Pasco
narudia tena na tena Wtz wengi ni vichwa vya wendawazimu,
1.msikilize Kafulila anashauri suala hili la IPTL lishughulikiwe na Mahkama ya London yaani tumekuwa kama watoto walioshindwa kusimama kwa miguu yao wenyewe.
2.Hivi kweli Pasco Watanzania tunauwezo hata wa kuwaza KUITAWA LA DUNIA au AFRICA au E.AFRICA kwa hali kama tunayoiona kwa wabunge wetu?.
3.Mwisho niseme kwamba USIMBA NA UYANGA unaenda kuimaliza hii nchi.
 
Last edited by a moderator:
Chenge ni finest mwizi wa hela za watanzania na kuna baadhi wa wabunge wa ccm wananufaika kwa kupitia kujua kwake sheria hivyo wamekuwa wakiliingiza taifa hili katika majanga makubwa yenye kulitia hasara ya mabilioni ya fedha. Period.
 
Pasco wa JF anatumia art ya taaluma yake katika kufikisha ujumbe na katika kujipatia kipato chake , sasa hapa ni bidi kilamoja wetu utumie akili za kuambiwa changanya na zako . Kuhusu Chenge ni kweli pendekezo la Jana Lilikuwa reasonable kwani piga ua mwenye uamuzi ni Raisi , lakini kutokana na background au Chama anachotoka Watu wakaamua kumpinga tu. Kuhusu kuwa the brain it is true tatizo alipoanza self actualisation alikuwa ktk utawala wa wevi hivyo wakatumia utaalamu wake vibaya naye akakubali kutumika
 
Kutofautiana kimawazo na kimtazamo ni jambo la kawaida. Duniani watu wote tungekuwa namna moja kusingekuwa na maendeleo yoyote. Ndiyo maana mungu akatupa uwezo tofauti kila mmoja, huyu uwezo wa lugha, huyu wa sheria , huyu wa ufundi, huyu hiki au kile. Lakini Pasco kutofautia na wewe sio jambo la ajabu na wala haina maana kuwa uwezo wake wa kufikiri ni hafifu. Hata katika hoja inapotolewa na mbunge mmoja mwingine huiboresha, mwingine huponda ndiyo dunia.
Binafsi namuona Pasco kama mtu huru kimawazo. Hutoa mawazo kama anavyofiri yeye sio kama unavyofikri wewe au kikundi chochote cha watu. Hoja ikiwa nzuri kwa CCM atasimamia hivyo, kama CHADEMA basi atasimamia hivyo bila kujali nani atasema nini. Huu ni uhuru wa kweli wa mawazo ambao watanzania wengi hawana. Wengi hufungwa na mawazo ya makundi ya au ya wakubwa wao au na fitina zao binafsi.
 
Pasco, you are one irritating, idiotic, shameless rabble rouser and attention seeker! Your threads are devoid of intellectual substance and full of c r a p! Only positive thing about you is you are not pretentious.
 

Unadanganya umma kwa kusema sababu ya kuwa na statutes ambazo ni "pari materia"ni kwa sababu ya kukosa watu wa kudraft, huu ni ujinga uliopindukia! Katika sababu nyingi za kuwa na statutes pari materia hiyo ya kwako si mojawapo.

Sisi tunatumia "Common law system ",mfumo ambao umejengeka katika misingi ya sheria zenye asili na mtindo wa uingereza.Katika mfumo huo na kwasababu mkoloni aliyetawala Tanganyika ni mwingereza tulipokea sheria za kiingereza kupitia "Receiving clause"kwa kupitia THE JUDICATURE AND APPLICATION OF LAW ORDINANCE.Kwa kupitia sheria hii serikali ya kikoloni ilipokea Sheria zilizoingizwa India na serikali ya kikoloni kuja kutumika Tanganyika.

Sasa nashangazwa na pointi yako eti tunatumia statutes ambazo pari materia eti kwasababu hatuna wataalamu wa kudraft sheria.Huu ni uzembe wakufikiri,unataka kuniambai sheria zote tulizotunga baada ya uhuru nani amedraft?Kama hujui kitu siyo lazima useme.

don xxx
 
Chenge ametumia taaluma yake kwa kuwaibia watanzania na kuibia nchi kiujumla. Kama ni ignorant chenge ni zaidi ya ignorant.
 
Sheria nyingi za former colonies za uingereza zilichikuliwa. Toka India na majaji wengi wa mwanzo wa tz walisomea India
 

Mkuu Elli wewe una tafsiri gani zaidi ya Pasco?

Maana anachokisema ndiyo ukweli wenyewe...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Elli wewe una tafsiri gani zaidi ya Pasco?

Maana anachokisema ndiyo ukweli wenyewe...

Mimi naamini kuwa when it comes to national interest tusijenge mazingira yoyote yale ya kulindana, hatuna maisha mengine ya kuwaachia watoto wetu zaidi ya haya tunayoyaharibu sasa hivi. Kumbuka hizi statements ambazo ni complicated zinakua na Athari kubwa sana kwa wale ambao hawatatumia muda wa kujiuliza mara mbili mbili juu ya maudhui.

Mimi naamini kuwa si wakati wa kuanza Ushindani wa kujua, kama tuna mashaka na mtu akae kando maana statement yoyote Ile kwa mazingira yoyote yale yanalenga kumlinda yeye binafsi...
 
Last edited by a moderator:
Mwizi mkubwa anabebwa na wezi wenzake ,
Kuna brave soldiers bungeni, zito, tumbiri, mbowe, mnyika, nchemba salute to them, hilo jizi lako tupa kule
 
Chenge is genious:
1. Formality za kisheria tz zina Mkono wa Mtemi.
2. Historia fupi inaonesha skendo zote zinazomuhusu Mtemi huwa zinayeyuka hewani.
3. Mboreshaji katiba ya JMT ya 1977 sambamba na hilo ndio muandishi bora wa Katiba pendwa itakayopitishwa na watz siku chache zijazo.

Haa..haa..haa kwa hayo matatu na mengine mengi unayoyajua wewe mpashie Mtemi..... pasha.... pasha...... pasha makofi matatu kwa Mtemi 1..... 2...... 3 👏👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…