Kama hukunielewa hakijaharibika kitu. Tuendelee tu na mjadala.
Nadhani unakumbuka mtu anaitwa Thomas Zangira. Huyu alikuwa anaiba siri za nchi na kuzipeleka nchi za nje.
Katika hali ya kuonyesha amekasirishwa na jambo hilo, Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia tukio hilo na kuita washiriki kama Zangira kuwa ni malaya wakubwa.
Issue ya Juma Thomas Zangira naikumbuka vizuri, bahati mbaya aligundulika kufanya uhaini, Mwalimu kumuita Malaya ni hasira dhidi ya uhaini huo, ila kama ni umalaya huo, tunao malalaya hao kibao, tena very high ranking officials you can never imagine!.
Bahati nzuri nimefanya kazi na wenzetu hawa (wazungu) ndani na nje!. Wenzetu wana kitu kinachoitwa "stake holders mapping", kila awamu mpya ikiingia madarakani, wanatayarisha chart ya "who is who" na kuanza ku take "a good care" ya who matters most!"
Kwa kukusaidia tuu, mpaka hii leo, miaka 50 ya uhuru, Tanzania hatufundishi hansard reportes, hansard reportes wote wanafundishiwa kwa "wenzetu", kikitokea kitu chochote kwenye bunge letu kinachowahusu, kile kipande cha "hansard hiyo" kinatangulia kufika "kule" kabla ya kumfikia mkuu wa hansard wa bunge letu!.
Wale mabosi wananene who matters most, wakiingia tuu madarakani, kitu cha kwanza ni kupewa "study tour" kwenye nchi za "wenzetu" wao na familia zao!, kwenye exotic places, 5 stars hotels, allowances nene!, watoto wao kutafutiwa shule huko hata kama ni vilaza!, fanya simple research watoto wa "the people" who matters wa nchi hii, wanasoma wapi, and why?!. Ni ma ignorants tuu kama sisi ndio tunajua kuwa tunafanyiwa "wema" na wenzetu hawa!, na kwa taarifa yako, tule tujisenti wanazo waingizia kwenye hizo kwenye hizo accounts zao za inje kwa kufanya u zangira, accounts hizo wanawafungulia wao, kule "Credit Sussie" kwa kutumia code names only, na hiyo code haiandikwi popote zaidi ya kichwani kwa mtoaji na mpewaji, hivyo hata bank manager hajui jina la account holder!.
Katika mazingira ya Chenge na hasara alizolisababishia taifa, tena akijua kuwa kazi anayofanya ni kujuhumu taifa, hivi nini kinamshinda kutoa siri za nchi endapo ataahidiwa 1.6B nyingine?
Kama Chenge angekuwa ni mmoja wa "mazangira hawa!" Waingereza wasingemsumbua kivile kwa huyu angekuwa ni mtu muhimu kwao hata kama services zake hazihitajiki tena kwa sasa!.
Tuonyeshe u-legal darftman wa Chenge umetusaidiaje kama taifa?
Hii ndio central theme ya uzi wangu, u legal draftsman wa Chenge ni uwezo and has nothing to do with tuhuma za ufisadi wake!, kwa kuutambua uwezo huo, BMK likampa katiba yetu mpya tunayoipenda kuisimamia!, katiba hiyo imetoka na imeishapitishwa kwa kura za kutosha ndani ya BMK na pia tayari imeishakubaliwa na Watanzania walio wengi!, ile kura ya maoni ni kwa ajili tuu ya kukamilisha taratibu!, tukubali, tukatea, kwenye drafting, Chenge ni mtu muhimu sana!, amelisaidia taifa kupata katiba mpya!, sasa iwe ni "Katiba Bora" au ni "Bora Katiba" its immaterial, the bottom like ni "Watanzania Watapata Katiba!" ambayo imekuwa drafted na Chenge!, na draft yenyewe ilianzia CCM ndio wakaireplace ile draft ya Warioba!.
Tulitendea jamvi haki, sisi wengine ni ignorant lakini JF inatupa fursa ya kujieleza. Tunafanya hivyo bila kutumika au hutumiwa.
Nimesoma kidogo "graphology" hivyo ninauwezo wa kunote change of tone kwenye maandishi, hapo nilipo bold, hili nilijua linaweza kutokea kwa mimi kushutumiwa nimewatukana Watanzania ni ignorants, wabunge ni ignorants na wana jf ni ignorants!, hivyo sasa mnakasirika kuambiwa "ignorants!.
Kwenye dhana ya ignorance, naomba unisome tena huku umetulia!.
Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda maneno makali kama haya, yatasaidia, to change for the better!.
We are ignorants, na wabunge wetu ni ignorants!.
Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, Pasco wa jf ni ignorant, na anajijua ni ignorant, ndio maana ana comment ignorance kwenye public ya jf ili kila mtu ajue Pasco ni ignorant!.
Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ignorants ila hawajajijua kuwa ni ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell if they are ignorants or not!, na wenyewe hawajijui!, kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa they are ignorants!, ili angalau sasa watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.
Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ignorants tuu!,
Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ignorants, tunashangilia ile ignorance!.
Naomba Chenge ahukumiwe kwa ugfisadi wake, which has nothing to do with uwezo wake wa the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, haki yake mpeni!.
Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.
Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Pasco
Pasco