Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Simkubali Chenge kwa matendo yake na jeuri, ana taaluma nzuri na yuko smart "intelligent" lakini kama tukitukia taaluma zetu vibaya tutaliangamiza taifa, watoto na wajukuu zetu tutawaambia nini? Kumbukeni ishu zote chafu za pesa huyu braza lazima awepo nyuma, why, why, why
 
wa------------------------------------ wa----------------------------- wa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu jamaaa bora afe tu kwanza ni mchawi alishawahi ingiza mambo ya kishirikina bungeni
 
Kama anaweza kupendekeza ni adhabu gani apewe baaada ya kuchota mabilioni ya hela za ufisadi ni wazi tumelogwa...!
 

Attachments

  • 1417330064322.jpg
    36.1 KB · Views: 859
Wakuligo ma dia kama mwizi anapewa nafasi ya kuweka formality ya hukumu yake unadhani utampa adhabu gani kama wewe hadhara.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

..................................Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.

Pasco


You are just playing with language semantics. Stupidity unaweza ukasema ni lack of understanding/intelligence na ignorance pia unaweza ukasema ni lack of understanding, unaware, etc.
 
ndiyo, Chenge ana akili sana na ndiyo sababu ni jizi na hamlifanyi kitu. Kweli kabisa.
 
You are just playing with language semantics. Stupidity unaweza ukasema ni lack of understanding/intelligence na ignorance pia unaweza ukasema ni lack of understanding, unaware, etc.
ignorance ni kutojua ukielimishwa na kuelimishika, ignorance inakutoka. stupid ni mjinga!, kumuelimisha ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa!.
Pasco
 
Wakati Prof. Muhongo akijifanya yeye ni mwenye akili kuliko watanzania wote, Pasco anajifanya kuwa kipanga miongoni mwa wana jf wote. Hilo ndo tatizo hapo. Miongoni mwa wana jf ninaowapuuza ni yeye! Nadhani bora kusikiliza matusi ya Lusinde.


Mkuu, hujamuelewa Pasco ....................... anawakebehi wabunge kwa kuzidiwa na Chenge!!

Hivi kweli wabunge wote wale (over 350) ambao wanajua na wanauhakika Chenge kavuta tena siyo kidogo halafu ndiyo anatoa ushauri ambao kila mbunge anaafikiana nao. Hapo lazima tukubali kuwa Chenge ni Brilliant ................. lakini ni Brilliant kwenye kundi la vilaza. Kwa mtazamo wangu pale bungeni wala hawakuhitaji akili nyingi bali walihitaji busara tu .............. Busara ni muhimu sana na wala haihitaji kwenda shule kuwa na busara. Kwa bahati mbaya sana viongozi wetu wengi wameikosa hiyo.................!!
 
Last edited by a moderator:

Anaonekana yuko vzuri kwa sababu wabunge wwngi ni vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…