Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Mkuu Pasco, uandishi wako ambao ni "full of sarcacism" unanikumbusha mwandishi mmoja wa west Africa anaitwa Armah Kweih aliandika riwaya ya "The Beatyfull Ones are not yet Born"!
 
Ila kwa vijisenti hajambo, kila deal kubwa kapiga.
 
Pasco,

Asante kwa ujumbe huu. Kwa nini?

Wacha nianze kwa kujisifu, Nimekuwa naombwa sana kuingia kwenye siasa kwani nchi inahitaji Watu wenye maono na uwezo wa kiutendaji nilioonyesha hapa na pale. Jibu langu siku zote limekuwa hivyo ulivyoandika hapo chini. Ninaowajibu hivyo wengi wamekuwa wanachukia na wengine wanasema sina uzalendo! Finally kuna mtanzania ameita spade a spade.

 
Nguruvi3,Pasco et al,

Very healthy discussion and debate. Tanzania needs more of this to help us understand ourself and know our true enemy.
Mjadala uendelee.Nawasilisha.
 
Tukisema moja Kwa moja wabunge wetu ni wajinga tu kupinga Chenge kupendekeza hoja ile, Mi nadhani Si Sawa. unapofanya maamuzi huangalia vitu vingi saana. tuwe waungwana mikono ya mpakua chakula wote tunajua ina kinyesi tumruhusu atupakulie chakula tule bila kuona kinyaa! Hapana! haivumiliki! ni muhimu pia kuona jamii ilitegemea nini! Chenge hakutakiwa hata kuwa Mbunge! vipi leo atumike! Pasco Chenge ilikua aone haya jambo lile ilikua akae kimya tu ndo busara
 
Bob G,
Hatuwezi kuwa tunamlaumu Chenge wakati CCM ndio inachuja na kupitisha wagombea wake, pia amepigiwa kura na kukubalika na watanzania jimboni kwake kuwa ndio anawafaa. Mie nadhani tunabweka kwenye mti ambao sio,Chenge sio tatizo. Tatizo ni CCM iliyompitisha Chenge kugombea.
Ukiangalia kwa umakini haya matatizo yetu, yamechimbuka toka kwenye Katiba yetu. Chenge amekuwa mstari wa mbele kutekeleza majukumu anayopewa na Rais na Mwenyekiti wa Chama chake ndio sababu mpaka leo hii ndiye aliyeaminiwa na kupewa jukumu la kuandika katiba mpya. Ukijiweka katika viatu vyake tokea amekuwa AG wa Mkapa, utaona kuwa amekuwa akitekeleza kwa ufasaha maelekezo yote toka kwa mamlaka ya juu yake na ndio sababu ameweza kuwepo pale mpaka amestaafu.
Ni rahisi sie tusioona internal operations za serikali na chama, kumwona kwamba yeye ndio tatizo.
Suala la kujiuliza Chenge jeuri yake inatokana na nini? Binafsi naamini ni kwa sababu amejikatia bima kubwa sana kwa kuwa loyal wa kulinda ngazi ya juu ya utawala kwa uaminifu mkubwa unlike "maZangira" wengine.

 
Pasco, sina tatizomkuu na maelezo yako mengi kuhusu ignorance yetu na unguli wa Chenge wa Havard. Mwisho wa siku kitachosimama ni yale manufaa tunayoyapata kutokana na huo unguli. Unguli bila nia njema ni janga. Umeme ni mzuri sana lakini kama kila siku ungekuwa unatuunguzia nyumba tu sidhani kama tungeuona wa manufaa kwetu.Unguli wake umetuzalishia kila aina ya mikataba mibovu na ya kuangamiza taifa letu, hivyo tusemeje sisi 'ignorants'?
Heri draughting ya mzalendo mwenzetu asiyekuwa nguli wa Havard, kuliko ile nguli fisadi, ambaye siku zote anafikiri atuchune vipi kwa kutumia unguli wake.
 

labda. . . . . . . tatizo ni hili gap kati ya "uwezo wa kufikiri na nia " na "uwezo wa kuandika na nia" ambao sasa unauzungumzia juu ya muhusika naona kivuli katika uandishi wako yaani figa ipo Dar ila kivuli kiko casted Tunduma!!!!
 
Yaani ikitokea scandal yeyote ya wizi wa mabilioni basi be sure jina la ANDREW CHEGGE lita pop-up smwhere smhow...! mi naona anaweza kawa anasingiziwa..., haiwezekani kila kashfa wewe uwemo...! hivi ni nini hiki???! hivi nini kinaendelea hapa???!
 
Jamaa ni holder wa Masters of thieves planning and implimentation
Kibaya zaidi.., huwa hachukuliwi hatua yeyote ya kinidhamu pindi anapobainika.., huyu mtu ni mchawi nini..??! haiwezekani bhana..!!!!! nataka majibu hapa...!! ni nini hiki..., hivi nini kinaendelea hapa..?!
 
Sio huusishw bali huwa yumo na anapiga dili za mabilion na mtoaji mzuri wa pesa kwa vigogo.

swissme
 
Ukiona mtoto ana tabia ya udokozi au wizi au uhuni au tabia mbaya nyingine yoyote ile halafu wazazi au walezi wake hawamchukulii hatua kumkanya au kumrekebisha dhidi ya mwenendo wake, ujue wazi kwamba wazazi au walezi wa mtoto huyo wamekubuhu katika hayo ayafanyayo mtoto wao na kwamba jamii ndiyo inatakiwa kuchukua hatua za kumrekebisha na hata kumchoma moto endapo atazidi kuwa tishio kwa ustawi wa jamii husika
 
Ningependa kumfahamu chenge kwa undani zaidi,maana maishu anayopiga siyo ya mchezo mchezo na huwa hapatagi kesi wala mashtaka ya kujibu, "how genius is this?"seems he know well to play samba in this country
 
yaani hadi alipewa ridhaa ya kuwa mwandishi wa katiba wa nchi hii "Tanzania "
sio mtu wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…