Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Mkuu me nimekuelewa sanaa. Ni kweli kile alichokuwa amekipendekeza Chenge kilikuwa the best sijui ni kwanini wabunge wa upinzani waliona njia ya shinikizo kuwa sahihi ili hali haitoweza leta positive impact ktk kile walichokuwa wanakitaka, au lilikuwa ndo chance ya kumake popularity km ilivyokawaiada ya siasa zetu!!
 
Huyu Jamaa yetu, leo ametajwa tena kwenye hii kamati ya pili, wajemeni kuna watu hawaruhusiwi kuguswa nchi hii, huyu ni Mtemi, akiguswa tuu, Wasukuma watakiwasha!, tena msifanye masikhara kabisa, watu uvumilivu ukiwashinda, watatoa siri wa Wahutu fulani, na Banyamulenge fulani!, tafadhalini msije kusema hatukuonya!.

Gusa wengine wote la huyu usimguse!. Unless akubali kufa kizungu na tai shingoni!, pesa alizopata yeye ni vijisenti tuu, laiti mngejua bosi wake alipata ngapi, watu msingesema humu!.

Paskali
 

Vijisenti na hilo litaabaki hivyo. Ukingusa yeye na uwaguse wafalme. Mnakumba Kesi ya Prof. Mahalu.
 
Huyu jamaaa bora afe tu kwanza ni mchawi alishawahi ingiza mambo ya kishirikina bungeni
Hahahaaa umenikumbusha mbali sana daah huyu Mzee kiboko.tufanyeje kumfunga huyu Mzee maana nahisi kwa sheria hizi atatupiga chenga tu.kumbuka si uchawi tu na sheria kanajua 😀 😀 😀 😡
 
Hapa ndiyo unapoona wapi kosa linapofanyika...kelele zote mzizi wa yote unaachwa kama ulivyo. Labda kama hakutajwa kwenye report lakini kwenye zile za pembeni yumo ataitwa ahojiwe. Lakini yote 9, kumi ni kwamba viongozi wa juu wa awamu zilizopita watahojiwa? Na kama hawatahojiwa, wako tayari kutuomba radhi watanzania na chama kwa kutuingizia hasara kiasi kile?
 
ahahaaa aesee Paskali umenichekeshaa! Mzee wa vijisenti, imagine boss wake ana ngapi!

Chenge being 'smart' or however u call him imenifanya nifikirie jinsi viongozi wetu wachache majiniasi wanavyo take advantage of many of us 'ignorants'. Mungu anawaona lakini
 



Usitake kukwepesha ukweli,Sema tu watanzania ni stupid tens WA kwanza ktk USO wa dunia hii,lakini yote yameletwa na ccm
 


Akatafute nchi yake akakae huko kwakuwa si mwenzetu, alisomeshwa ili kuinufaisha nchi na si vinginevyo
 
Hahahaaa umenikumbusha mbali sana daah huyu Mzee kiboko.tufanyeje kumfunga huyu Mzee maana nahisi kwa sheria hizi atatupiga chenga tu.kumbuka si uchawi tu na sheria kanajua 😀 😀 😀 😡


Nadhani kwanza watafutwe wanasheria brains kadhaa wenye uchungu na nchi toka moyoni waungane, hatakuwa na mahali pa kuchomokea, iwe isiwe huyu lazima akachuchumalie debe
 


Zamani nilikuwa sifatilii ya siasa kizaidi kwa kuchangia bali kusoma tu, kama nilivyo sasa baada ya Mh. Magufuli kushika uskani.

Kaka mleta mada aka Pasco wa JF, bahasha sana zinachangia sana anayoyaandika hadi leo
 
PASKALI WEWE NI MWANDISHI MZURI, ANALYTICAL, NAOMBA UTOE MAONI YAKO KWA RIPOTI YA PILI IN RELATION TO LISU AND THE OPPOSITION IN GENERAL
 
Hili swali tuwaulize wana bariadi.
 
PASKALI WEWE NI MWANDISHI MZURI, ANALYTICAL, NAOMBA UTOE MAONI YAKO KWA RIPOTI YA PILI IN RELATION TO LISU AND THE OPPOSITION IN GENERAL
Kama ndio ripoti yetu hii ya wasomi wetu, then we have a serious problem. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua mchanga wetu tuna balozi zetu, kama tumeshindwa kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, then hiyo ripoti is nothing!.

Acacia ni listed company kwenye LSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document.

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi lolote sio uchunguzi chochote, then ripoti ya pili sio chochote!.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

The only fair way kwa Acacia ni full disclosure inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali
 
Good, na katika issues kama hizi huwezi ukachukua samples ukafanya bila wenzako kuwepo/kukubaliana mtumie method, maabara ipi- accreditation ya maabara etc ukakubalika kuwa matokeo ya utafiti wako ni sahihi! Hawa wamefanya kutumia data za ile kamati ya ya kwanza maana these are not chemists! Watu wanashangilia kama vile upande wa pili wameridhika na namna walivyochenjue makanikia....by joint agreed scientific method to analyze the concentrates!
 
Hii ngoma ya makinikia bado mbichi!.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…