Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubalidisha to change for the better!.

Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, viongozi wetu ni ignorants, na hadi wabunge wetu ni ma ignorants tuu kwa kutumia wingi wao vibaya kupitisha sheria mbovu ambazo mwisho wa siku zinakuja kuligharimu taifa letu.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, japo kweli ni fisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuatia wengi wa wabunge wetu ni ma ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.

Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Mkuu Nguruvi3

Mkuu Nguruvi3,

Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, mimi Paskali ni ignorant, na najijua ni ignorant!, ndio maana na comment anything ignorantly kwenye public ya jf ili kila mtu ajue my mind.

Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ma ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment chochote ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ma ignorants ila hawajajijua kuwa ni ma ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell if they are ignorants or not na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa kuwa they are ignorants!, ili angalau next time watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.

Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ma ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya eneo gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paste "para materiale" (neno kwa neno) kutoka sheria za India, simpy because bado hatuna good legal drafting people mule ndani ya bunge letu!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best kwenye legal drafting, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants (vilaza), ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.

Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the highest top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ma ignorants, tunashangilia tuu ile ignorance!, yaani tunashangilia ujinga!.

Naomba Chenge ahukumiwe kwa ugfisadi wake, which has nothing to do with uwezo wake wa being the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, lakini haki yake mpeni!.

Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.

Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.

Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Kuna tofauti kati ya kuwa ignorant na kuwa stupid.
Paskali
Paskali with due respect, falsafa inakataa kabisa "submission" yako. "A human being is an entity in its totality". Ukiisha itaja sifa hiyo ya kwanza ya mheshimiwa basi hiyo ya pili inapotea kabisa kwa sababu "component" moja ya "humanity" inakuwa haipo hivyo kumnyima sifa ya kuwa "a total human being".
Kulingana na "The Law of Negation" hata hiyo "heading" yako ni "contradictory as far as totality of human being is concerned".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hukunielewa hakijaharibika kitu. Tuendelee tu na mjadala.

Nadhani unakumbuka mtu anaitwa Thomas Zangira. Huyu alikuwa anaiba siri za nchi na kuzipeleka nchi za nje.
Katika hali ya kuonyesha amekasirishwa na jambo hilo, Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia tukio hilo na kuita washiriki kama Zangira kuwa ni malaya wakubwa.

Katika mazingira ya Chenge na hasara alizolisababishia taifa, tena akijua kuwa kazi anayofanya ni kujuhumu taifa, hivi nini kinamshinda kutoa siri za nchi endapo ataahidiwa 1.6B nyingine?

Tuonyeshe u-legal darftman wa Chenge umetusaidiaje kama taifa?

Nadhani hapo ndipo tunapaswa kujibu pamoja na hoja nyingine nilizoeleza.
Hayo ya quote tuyaache maana yanaonekana kutuondoa katika hoja na kuanza kujibu usichoulizwa. Turudi kwenye hoja.

Tulitendea jamvi haki, sisi wengine ni ignorant lakini JF inatupa fursa ya kujieleza. Tunafanya hivyo bila kutumika au hutumiwa.
Mayalla kama ulikuwa unapendelea kufuatilia kesi unikumbushe kesi ya MTU mmoja anaitwa
(1) Thomas Nzangira alikamatwa kwa kesi ya uhaini kama sio ujasusi nimesahau
(2) dereva taxi muhando aliyewachomekea kesi kina maghee alikuwa anapaki taxi yake Kilimanjaro hotel
Yes nilikuwa napenda kufuatilia kesi, hiyo kesi ya uhaini ya Juma Thomas Zangira pia niliifuatilia.
Ilizungumzwa hapa na humu kuna nyuzi nyingi tuu za kesi hii,
Pamoja Na Ufisadi Wake Wote, Chenge is One of Best Brains Kwenye Bunge Full of Ignorants - JamiiForums

Kesi yenyewe kamili imeripotiwa hapa
Juma Thomas Zangira: Mtanzania wa kwanza kushitakiwa kwa ujasusi - JamiiForums

P

Mkuu Olesa, asante kwa kunieleza ukweli, kwanza nakiri wazi kabisa kuwa mimi Pasco wa jf, ni mtu mwenye matatizo!, na tatizo langu kubwa kabisa siku zote ni kuueleza ukweli vile ulivyo na sio ukweli ambao watu wanautaka uwe!, siku zote kuna ukweli mmoja tuu na ambao ndio unasimama!, hivyo mpaka ndani ya moyo wangu na nafsi yangu, sina upande kabisa!.

Tanzania tuko kwenye vita vya ukombozi wa pili wa nchi yetu!. Kwenye vita hii, tuna wapiganaji mashujaa walioko mstari wa mbele, ambao wao kazi yao ni kupigana tuu, no matter what!. Na kuna wapiganaji makini ambao hawaamua kupigana hadi wawe na uhakika wa kushinda vita!.

Wapiganaji Shujaa!.
Ndani ya vita hii kuna wapiganaji shupavu, waliodhamiria kuingia vitani, kupigana kufa na kupona, "motto" yao ni "fight figh fight no matter what!", "no retreat!, no surrender!", hawa watapigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike, hata kama wanajua watashindwa vita, wataendelea kupigana tuu, na mwisho wa siku, all will be wiped!, ila watakuwa declared "mashujaa wa taifa" na majina yao, yatakumbukwa milele!.

Wapiganaji Makini!.
Wapiganaji makini, hawaingii vitani mpaka kwanza wajue nguvu ya jeshi la adui!, na wakijipima na nguvu yao, wanaamua kutopeleka kwanza majeshi vitani ili kuepuka a loosing battle!, hawa formula yao ni "never fight a loosing battle", na wakiwa kwenye uwanja wa mapambano, wakiona dalili za kushindwa, kuliko kuendelea ku fight na kuwa wiped out, wata retreat kwenda kujijenga upya, mpaka wawe na nguvu to hit back and win, vinginevyo baada ya majaribio kadhaa ya kushindwa, then wanaamua "if you can't beat them, join them" and learn their secrets of battlefields" kinachowafanya washinde!. That is me!.

Wengi wa wapinzani ni wapiganaji mashujaa so does wengi wa wana jf, mimi ni miongoni mwa wale tunaosema ukweli huu mchungu bila kumung'unya maneno, ili angalau watusikie, sometimes tunalazimika kutumia maneno makali kama hili la "ignorants!' tunaowaambia kuwa hata kwenye urais ni 2015 ni CCM tena!, simply kwa sababu wapinzani bado hawajawa tayari!. Wakiambiwa ukweli huu, wanakasirika!.

Pasco.
Dah!.. Siku huyu Pasco (wa enzi hizo kabla hajawa verified) akikutana na Pascal (Platinum member) huenda wakapigana hadharani.
 
Wanabodi,

Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi ya viongozi wetu ni ignorants, na hadi baadhi ya wabunge wetu pia ni ma ignorants tuu wakiongozwa na wabunge wa CCM, ambao kwa kutumia wingi wao vibaya, ignorantly kupitisha sheria mbovu ambazo mwisho wa siku zinakuja kuligharimu taifa letu.

Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ma ignorants tuu!, sasa huyu Chenge ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya eneo gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paste "para materiale" (neno kwa neno) kutoka sheria za India, simpy because bado hatuna good legal drafting people mule ndani ya bunge letu!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best kwenye legal drafting, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants (vilaza), ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.

Chenge ahukumiwe kwa uwezo wake wa being the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, lakini haki yake mpeni!.

Paskali
Kiukweli kisu cha NEC ni kikali kinakata kweli kweli, au panga la NEC ni kali!, kama hata majina ya mashujaa kama hawa, na wameongoza kura za maoni majimboni kwa na bado wamepigwa panga!, who I compared?.
Pole sana shujaa wetu Mtemi Chenge, karibu uraiani!.

Apumzike ameshakula vya kutosha. Awaachie na wengine.
 
Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubalidisha to change for the better!.

Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi ya viongozi wetu ni ignorants, na had baadhi ya wabunge wetu pia ni ma ignorants tuu wakiongozwa na wabunge wa CCM, ambao kwa kutumia wingi wao vibaya, ignorantly kupitisha sheria mbovu ambazo mwisho wa siku zinakuja kuligharimu taifa letu.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, japo kweli ni fisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuatia wengi wa wabunge wetu ni ma ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.

Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Mkuu @Nguruvi3

Naomba Chenge ahukumiwe kwa ugfisadi wake, which has nothing to do with uwezo wake wa being the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, lakini haki yake mpeni!.

Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Kuna tofauti kati ya kuwa ignorant na kuwa stupid.
Paskali
Kama Tanzania tunataka kuwa na Spika wa ukweli, Andrew Chenge ndiye the one and only, who can make the best speaker anayekaribiana na SS!.
P
 
Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubalidisha to change for the better!.

Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi ya viongozi wetu ni ignorants, na had baadhi ya wabunge wetu pia ni ma ignorants tuu wakiongozwa na wabunge wa CCM, ambao kwa kutumia wingi wao vibaya, ignorantly kupitisha sheria mbovu ambazo mwisho wa siku zinakuja kuligharimu taifa letu.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, japo kweli ni fisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuatia wengi wa wabunge wetu ni ma ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.

Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Mkuu Nguruvi3

Mkuu Nguruvi3,

Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, mimi Paskali ni ignorant, na najijua ni ignorant!, ndio maana na comment anything ignorantly kwenye public ya jf ili kila mtu ajue my mind.

Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ma ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment chochote ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ma ignorants ila hawajajijua kuwa ni ma ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell if they are ignorants or not na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa kuwa they are ignorants!, ili angalau next time watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.

Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ma ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya eneo gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paste "para materiale" (neno kwa neno) kutoka sheria za India, simpy because bado hatuna good legal drafting people mule ndani ya bunge letu!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best kwenye legal drafting, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants (vilaza), ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.

Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the highest top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ma ignorants, tunashangilia tuu ile ignorance!, yaani tunashangilia ujinga!.

Naomba Chenge ahukumiwe kwa ugfisadi wake, which has nothing to do with uwezo wake wa being the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, lakini haki yake mpeni!.

Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.

Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.

Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Kuna tofauti kati ya kuwa ignorant na kuwa stupid.
Paskali
Da! Sasa wewe unamtetea chenge kweli? sawa anaweza kuwa mjuvi wa sheria. Lakini huo ujuvi wake wa sheria ameufanyia nini tz? Sanasana ametumia ujuvi wake wa sheria kupiga madili tu basi
 
Huyu 2ic wake vepe?
Japo she is also, the best brain, ila kwenye uspika wa ukweli, pale hakuna kitu, ila sauti hii nilioisikia,
ilisema ndie Spika ajaye.
P
 
Chenge atamfunika SSH, kile kichwa kinajua kucheza na jamii..Labda SSH amwombe kuwa naomba unibebe kuelekea 2025.
No... hatamfunika, it's the other way around, baada ya Mama kuanza to show her true colors na kukunjua makucha, her weaknesses pia are now visible with plain eyes, hivyo kiukweli kabisa, Mama anahitaji kusaidiwa seriously ili aweze, Dr. Tulia hawezi kumsaidia but Chenge can!. Tumeona madhara ya a compromised perliament, Chenge sio a compromising man kwenye vitu vya kijinga jinga, hivyo atamsaidia sana Mama, kulisaidia Bunge lisipitishe sheria za ajabu ajabu na kulisaidia Taifa.
P
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, japo kweli ni fisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsman we have kwenye Bunge letu, .
Paskali
Kumekucha!.

Pamoja na mimi kuisikia hii sauti Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
lakini kama Tanzania tunachotaka ni spika bora!, huyu sasa ndio Spika!.
P
 
Back
Top Bottom