Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Paskali with due respect, falsafa inakataa kabisa "submission" yako. "A human being is an entity in its totality". Ukiisha itaja sifa hiyo ya kwanza ya mheshimiwa basi hiyo ya pili inapotea kabisa kwa sababu "component" moja ya "humanity" inakuwa haipo hivyo kumnyima sifa ya kuwa "a total human being".
Kulingana na "The Law of Negation" hata hiyo "heading" yako ni "contradictory as far as totality of human being is concerned".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes nilikuwa napenda kufuatilia kesi, hiyo kesi ya uhaini ya Juma Thomas Zangira pia niliifuatilia.
Ilizungumzwa hapa na humu kuna nyuzi nyingi tuu za kesi hii,
Pamoja Na Ufisadi Wake Wote, Chenge is One of Best Brains Kwenye Bunge Full of Ignorants - JamiiForums

Kesi yenyewe kamili imeripotiwa hapa
Juma Thomas Zangira: Mtanzania wa kwanza kushitakiwa kwa ujasusi - JamiiForums

P

Dah!.. Siku huyu Pasco (wa enzi hizo kabla hajawa verified) akikutana na Pascal (Platinum member) huenda wakapigana hadharani.
 
Kiukweli kisu cha NEC ni kikali kinakata kweli kweli, au panga la NEC ni kali!, kama hata majina ya mashujaa kama hawa, na wameongoza kura za maoni majimboni kwa na bado wamepigwa panga!, who I compared?.
Pole sana shujaa wetu Mtemi Chenge, karibu uraiani!.
P
 
Apumzike ameshakula vya kutosha. Awaachie na wengine.
 
Kama Tanzania tunataka kuwa na Spika wa ukweli, Andrew Chenge ndiye the one and only, who can make the best speaker anayekaribiana na SS!.
P
 
Da! Sasa wewe unamtetea chenge kweli? sawa anaweza kuwa mjuvi wa sheria. Lakini huo ujuvi wake wa sheria ameufanyia nini tz? Sanasana ametumia ujuvi wake wa sheria kupiga madili tu basi
 
Huyu 2ic wake vepe?
Japo she is also, the best brain, ila kwenye uspika wa ukweli, pale hakuna kitu, ila sauti hii nilioisikia,
ilisema ndie Spika ajaye.
P
 
Chenge atamfunika SSH, kile kichwa kinajua kucheza na jamii..Labda SSH amwombe kuwa naomba unibebe kuelekea 2025.
No... hatamfunika, it's the other way around, baada ya Mama kuanza to show her true colors na kukunjua makucha, her weaknesses pia are now visible with plain eyes, hivyo kiukweli kabisa, Mama anahitaji kusaidiwa seriously ili aweze, Dr. Tulia hawezi kumsaidia but Chenge can!. Tumeona madhara ya a compromised perliament, Chenge sio a compromising man kwenye vitu vya kijinga jinga, hivyo atamsaidia sana Mama, kulisaidia Bunge lisipitishe sheria za ajabu ajabu na kulisaidia Taifa.
P
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, japo kweli ni fisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsman we have kwenye Bunge letu, .
Paskali
Kumekucha!.

Pamoja na mimi kuisikia hii sauti Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
lakini kama Tanzania tunachotaka ni spika bora!, huyu sasa ndio Spika!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…