Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

P
Tutajuaje Kama ametubu madhambi yake!? usiionje sumu kwa kuilamba !!!
 
Naheshimu mawazo yako, na huu ndio uzuri wa mitandao ya jamii, sisi jf tukiwemo, you might be arguing with a fool without noticing, hivyo comments za namna zinatusaidia sana kubaini the stupidity among us. Thanks.
P
Iam a very good stupid for this
 
Mhe, Andrew Change, japo kweli ni fisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu
Best brain bila maadili kuna kitu hapo? Tukifanya hivi tutakuwa tunatengeneza bomu la kiuongozi na kimaadili.
 
Fisadi = mwizi

Mwizi is a misfit in society hata Kama alisoma Oxford.
Mtu aliyeelimika hawezi kuwaibia wananchi wenzake hohehahe hiyo hela aliyoiba ingeweza kununua dawa ambayo inge okoa na kuongeza Maisha ya marehemu mtoto wa mtanzania
Mwizi Hana akili
Mwizi sio mstaarabu
 
Back
Top Bottom