Pamoja na ujio wa Dotto Biteko Makali ya Mgao wa Umeme Yameongezeka

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Makamba alitolewa Tanesco kupunguza makelele tu. Ila kiuhalisia sasa hivi mgao wa umeme ni mkali kupita kiasi..

Swali linabaki pale pale bwana yule aliwezaje kutuepusha na hii dhahama...Samia is a failure.
Nawashangaa sana wanaowaza kumwongezea muda.
 
doto biteko hana lolote ni maneno matamu tu yeye na aweso wanafanana tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…