Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] siyo kwa hilo povu....watu na mabasha wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamchekea nani matako ww. Tafta hela unahangaika nawatu wanakula bata hawana stres zamaisha kama ww.hata uongee vipi kiba hawezi kuwa maskini .masikini niww unaehangaika ukute hata nyumba gari huna undandia dalala .mm so saizi yako mbwa ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Super black please erase some of your postings I don't know if you post 10 same posting.Do you want to jam the thread?
Thank you
 
Hauna unachokijua kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan mondi anajisifu!? Au mambo yako ndo yana musho off!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu...Mambo haya magumu.Nasikiliza seduce me hata kutingisha kichwa nashindwa...Mbona zilipendwa inachezeka? Najiuliza wanaosema seduce me ndio nzuri wanatumia kigezo gani?
 
Pesa haina siri Mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiongee usilolijua... and of course source ya taarifa zako ni mitandao Kwahyo ww ni mdaku tu na shabiki.

Dai ni jina ndo linalotumika kubrand na kupromote vya watu, hana chake na bila salalamu sk dogo bado choko tu

Perfume ni ya Kusaga, Karanga ni za Muhindi, Nyumban south ni za Zari, magari ni ya mashabiki.... yy kazi yake n kuuzia sura tu.
 
Mimi ni x girlfriend wake kiba jomoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…