Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Kuna uwezekano mkubwa mtu mwenye milion 1 akafanya matanuzi makubwa kuliko mtu mwenye milion 10

Nakumbuka enzi diamond anajitanabaisha kuwa kanunua nyumba south Africa (japo sijajua sheria za south dhidi ya umiliki wa nyumba kwa watu wa nje ya south km ni rahisi hivyo) aliwafata SHILAWADU na kuanza kujisifu ambapo alidai hyo nyumba kwa idadi ya rand ambazo ukiconvert kwa pesa ya kibongo ni kama milion 450,sawa na kununua nyumba ya kawaida kinondoni studio yenye ukubwa wa nusu heka, hapo utaona kuwa mond siku zote hafanyi kitu bila kujitangaza, whether ni chake au sio chake, mfano hizo perfume anazodai ni zake kumbe za kusaga, karanga pia kasema ni zake kumbe za muhindi, magari ya kina ustadh juma namusoma inanipelekea kusema kuwa utajiri mnaodhani ni wa diamond huenda 60% sio wake, sema anatumiwa kupromote na kwa uswahili wa mond na misifa yake anatangaza kuwa ni vyake, na kwakuwa mashabiki wengi wa mondi wana historia sawa na life status za kitandale wanaamini moja kwa moja asemalo mswahili mwenzao


Ukija kwa kiba ambaye kwanza hana lundo la wapambe, ana meneja mmoja tuu, kafanya shows ndani ya miez miwili shows km 40 hv ambazo kila show kapata not less than 25,000 usd, ambayo kwa show 40 ni km 1milion usd, bisheni siwazuii, kiba ana longterm plan, hana plan ya leo tuu, anataka siku akiamua kuachia mambo zake awafunge watu midomo, nakumbuka Shilawadu walimuuliza kuhusu nyumba yake anayojenga tabata, aliwajibu kwa kuwauliza ni lini yeye aliwafata akawaambia anajenga nyumba? Hii ikimaanisha kuwa wasimtoe alipo kwani muda wake wa kufanya hvy bado, siku zote mwanaume tajiri wanaofanya show off huwa ni wake zao na watoto

Kiba kujiita king na mond kuitwa malkia wa nguvu inareflect what kiba said baada ya hizo rumours kutoka kwa Shilawadu

Game ndio imeanza, mond alikuwa 10 step ahead na anapanda kwa 1 step but kiba anapanda by 5 steps, ili kushindana na aliyekuzidi steps ni kutompa mwanga wa speed yko, acha mond ajione yupo mbele ya kiba, but cku akiujua ukweli atajiona bonge la fala....
 
Hahahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia google kisha nitafutie studio aliyokuwa akimiliki marehemu tupac shakur au hata notorious BIG....ukiipata jibu hapa kisha nifuate private andika namba yako ya simu ndani ya dk 5 utakuwa unasoma ongezeko la salio la tshs 1mil.

kuwa msanii mkubwa sio lazima uwe na studio...hata hiyo ya domo bado ipo kwenye category ya home recording studio na sio professional studio.

elewa kijana acha kubwabwaja hapa.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Ningetamani kelele zote za mashabiki WA king Kiba angalau nao wangetupia hata kagari au nyumba kama alivyosem yule aneishi Jirani ya Kiba. Sijui kakatazwa hata kupiga Picha hilo jumba aliolonalo Kiba
Kama ni rahisi kiivyo bila idhini ya mwenye mali basi na wewe TUPIA PICHA ZA UBALOZI WA MAREKANI maana kila siku unapita hapo getini kwao kwenda kwenu msasani maandazi road na bonde la mpunga.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Hela inajitangaza yenyewe hata kama hujitangazi usituletee porojo apa.

Rostam aziz ushawahi msikia kny media wala kwny mamitandao ya kijamii akijitanabaisha au bakhresa kama wanavofanya akina mengi, manji na mo dewj....lkn ulimwengu unatambua kuwa jamaa wana utajri wa kutisha so usituletee simulizi za sungura na fisi apa. Hata kama hupndi show off lkn kma una mkwanja jamii itajua tu.

Na kuhusu sijui nyumba ya tabata shilawad washaenda pale na ni ya kawaida sana.

Na usijaribu kufananisha mtu anaefanya show zake kwny viwanja na anaefanya kwny mi grocery uko ulaya.
 




Mmmhh hyo m100 unaitamka kirahisi tuu. So kwa mwaka 1.2b???? Embu npishe miee
 
Siku Alikiba atakapofikia mafanikio ya Chibu ataanza show-off kwa sasa inabidi apige kimya maana hana cha kumzidi. Yaani ananikumbusha enzi zangu nipo school pepa ikija nimepata namba za viatu nilikuwa naficha, sasa subiri siku nipige banda darasa zima watajua
 
Inabidi ifike kipindi,Kiba akubali Mond kamzidi na apambane kufika level alofika mond.Ili bongo kuwe angalau na wasanii wawili watatu wa kimataifa.

Kupambana kumshusha mmoja ili mwingine awe juu ni ulofa

ushauri wa bure
Mond muuza sura yule..kila kitu anajionesha mitandaoni. Kiba level ingine ile. Kiba inajitambua
 
Mkuu hebu kajipange harafu urudi tena
 
kiba pesa zote anavutiya bangi na kula mirungi na kuhonga mademu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…