Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Naangalia YouTube account zao hapa naona mmoja kapost videos tu wakati mwingime ana hadi interviews,behid the scene za videos na stage shows zake na pia zinapata viewers kama 136k,188k ukiachana videos zenye hadi 31M. Bado huyu wa pili akipiga hela na akisema mnasema show off.
Hayo ma endorsements sasa daaaah.
Au mnataka jamaa amfikie kwa shows za fiesta
 
Si umeona lile fuvu ofisini kwa diamond ndio linampatia hela na zari alikuwa ana mpa za mumewe, ukweli unaujua huwezi mfananisha diamond na alikiba ki mafanikio sababu ya nyakati na upokeaji wa mabadiliko na management. Ezi za kina kiba wanavuma hakukuwa na mambo ya Instagram na mitandao mingine ikivuma kwa kusaidia kutangaza wasanii. Diamond alipata management yenye maono kuliko alikiba, na diamond ametumia platform ya wanamziki wa nje kujijengea soko. Alikiba baada ya kuimba na R.Kelly nae aliingia kiburi akabaki kujisimu hakutoa nyimbo za maana tena baada ya hapo. Wenzake walipoingia kwenye mabadiliko ya mziki na utandawazi bado kiba alikuwa na kiburi pasipokubali mabadiliko hivyo ndio vinamgharimu. Ila uongozi wake ukisoma nyakati umtumie kiba kama brand atawakimbiza sana.
Wenye team za watakuja sasa hv watakupa majibu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Duh!!!

-Ndumilakuwili-
 
Duh mshkaji, watu 19 alipe milion 100 kwa mwezi, unamaanisha kila mmoja anakula zaidu ya milion 5 kwa mwezi?
 
Diamond anapenda Show-off(ni tabia yake), kila kitu anatuonyesha hata akimpiga denda Zari tunaona live Snap chat [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiba sio masikini kama unavyodhani ila hapendi show off (Hela ya kula, magari, na nyumba anavyo vyote)
Sawa na Mayweather sio BILIONEA ila shughuli yake wazungu wanaipata [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Bill Gates akiamua kuweka picha kalala na hela zake hapatatosha atajikuta kalala barabarani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maskini akipata makalio ( matako) hulia mbwata.
 
Mkubali mkatae, Ali Kiba hana utajiri wa kumzidi Diamond na wala hamfikii ata thumuni. Diamond ana vitega uchumi vingi kama nyumba maeneo mbali mbali ya mji, endorsments na muziki wake mwenyewe ulivyo mkubwa.

Ali kiba anapambanishwa nae tu kwa chuki binafsi maana nae anajitutumua tu na watu wanampa bichwa ila ni wazi hawezi kumpiku diamond kimaisha na hata kimuziki kwa sasa.

Ishu ya utajiri hata hainaga haja ya makelele kwa maana umbea tu wa wabongo ungetosha ku reveal ukweli.Ushahidi wa matukio unatosha kudhihirisha hilo.
 
Diamond Ana X 6 na V8

Kibakuli ana X 5 used (27 million)

Diamond alipaswa awe na bifu na Davido siyo huyo muimba kwaya wa Kariakoo.
X 6 alinunua kwa marehemu seti na mjane anamdai bado...kama tajiri anunue Gari 0 km
 
nani ana views 31m youtube
 
Ali masikini kwa kigezo kipi?

Kwann heading umemtaja Ali maelezo yote ni ya Diamond?

Kwann umeonyesha mali anazomiliki Diamond na za Ali hujaonyesha?

Naomba kujua umefikiri kwa kutumia Akili au Hisia?
 
Diamond Ana X 6 na V8

Kibakuli ana X 5 used (27 million)

Diamond alipaswa awe na bifu na Davido siyo huyo muimba kwaya wa Kariakoo.
Mkuu ongezea na hizi...diamond ana mama ambaye mda wote anashinda instagram huku akitembea ki mic wakati kiba hana...
 
Watanzania wengi matajiri kazi tunazoona wanafanya sizo kazi halisi zinazowaletea kipato hicho cha utajiri
 
Bila kumtegemea zarina hassani Chibu hana anachomiliki zaidi ya boxer zake
Hata watoto hamiliki

Labda kingne anachomiliki ni kile kidonda ndugu chake cha kusaidia ngoma zake zisibume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…