Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Yule anasumbuliwa na uvutaji bangi na ubugiaji unga tu....demu hana mbele wala nyuma, hajitambui.
 
Sikutaka kuyasema ila tu nakuibieni siri katika wanawake wanao honga Wema anatisha ukibahatika kukutana naye kimapenzi uka mkalisha vizuri basi wewe umeramba dume
 
Yaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
WALIKUWA WANASHAURIANA KUHUSU CONDOM GANI YA KUTUMIA NA HASA YENYE FLAVOUR IPI
 
Yaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
Ana elimu gani? Ana hata bachelor?
 
Hao ndo mademu wanaiishi kwa mizinga
 
Akili zake kazikalia makalioni. Ni mwendo wa kudanga tu. Umri unamtupa yupo yupo tu kama zombi
 
anaendekeza mapenzi badala ya kazi, na pia sio mbunifu kama unavomnadi bali anapenda misifa na ndio tatizo
 
Unao uhakika kuwa hana maendeleo,
Siyo kila staa lazima ajioneshe wazi mitandaoni kuwa anayo pesa.
[emoji4]
 
Dah......anapenda kusikika midomoni mwa watu halafu hana asset yeyote zaidi mateso zinapata sehemu za siri......Mamiss wote wenzake wapo mbali yeye amedrop kutoka CEO hadi Host wa Wasafi kazi kweli kweli
 
Kuna watu hua mnawashwa aisee..comment zote umeiona ya yna12 tu ndio ametukana eti?
Unaonekana una somekind of mental disturbance mkuu,mbona na mimi umenitukana?!!
"Rudeness is the person's weakness immitation of strength"Chukua hiyo itakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…