Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooo!!!Dada wa Taifa anasema huyu Wema amelalwa hadi na machokaraa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukipewa jibu fanya kuntag.Kwani Malaya anaendeleaga
Huwezi ona mantiki ya ujumbe wangu kwa vile wewe inaonyesha bado una akili za kivulana. Acha na nakueleza tena acha kuwa na bifu na hao jamaa maana hujui kesho atakuwa chakula ya nani. Je, akiwa chakula ya boss wako si kibarua kwaheri. Haikupunguzii chochote ukiacha kulumbana nao.Wewe nae ni wakupuuzwa tu unaonekana unapenda sana kujikomba ndio maana umemquote huyo mtu wako ili aone eti unamfagilia,usifikiri watu wote ni wa hovyo na wanapenda kujikomba kwa mtu mwenye avatar fake na ID fake,jaribu kua na akili iliyokamaa na si ya kitoto.
Wewe ni wakupuuzwa tu coz hata unachokiandika hakieleweki,haya subiri aje akujibu huyo unayejikomba kwake.Huwezi ona mantiki ya ujumbe wangu kwa vile wewe inaonyesha bado una akili za kivulana. Acha na nakueleza tena acha kuwa na bifu na hao jamaa maana hujui kesho atakuwa chakula ya nani. Je, akiwa chakula ya boss wako si kibarua kwaheri. Haikupunguzii chochote ukiacha kulumbana nao.
Kwa upande wangu huyo Shunie simfahamu na sitegemei nijulikane kwa member yeyote wa JF including you. Hapo sioni mantiki ya kujikomba hata PM yangu angalia ilivyofungwa.
KakaWewe ni wakupuuzwa tu coz hata unachokiandika hakieleweki,haya subiri aje akujibu huyo unayejikomba kwake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda wewe ambaye jua halijakuchwa ukawe host wa hao wasafi.
Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema
Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
Wema Kakua mwili tu ila akili haijakua na haitokua tena.... Lile ni sikio la kufa
[emoji23][emoji23]Wema kaendelea sana mkuu, Ye ndo anaongoza mpaka sasa kuwa na idadi kubwa ya wanaume na wote hawakutia hata punje achia mbegu tumboni mwake!
Na pia ye ndo star wa kwanza kubadilika toka kuwa Mkurugenzi wa Endless fame hadi kuwa mfanyakazi wa WCB!
Wema ndo mwalimu wa kwanza kabisa kumfundisha Mond English na kisha huyo Mond kuitumia hyo English kumtongoza Zari kiboko ya Wema!! Hayo ni Maendeleo makubwa mno kuwahi kufikiwa na Mastar wa kibongo!
Acheni kabisa kumbeza Madam Wema