hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
huku kumenishinda mkuu ngoja niwaachie wenyewe muendelee kudiscus watu tu """!![emoji23] [emoji23] [emoji23] kwema lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huku kumenishinda mkuu ngoja niwaachie wenyewe muendelee kudiscus watu tu """!![emoji23] [emoji23] [emoji23] kwema lakini?
Hahaha waja mna maneeeeeenoKazoea magauni ya millioni 3 atakumbuka kununua kiwanja cha millioni 2! Hahahaaa uzee utamfumbua macho
Nmefanyaje tena[emoji2] [emoji2] [emoji2] ila wewwe!!!
Wapi na lini wcb wameshawahi kumtumia ?Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema
Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji126] [emoji126] hapa sasa umenenaaaaa!!!!Msinipande kichwan semen lin twende shubaamit zenu
Muanze kujishaur tena kupanga hyo siku[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji126] [emoji126] hapa sasa umenenaaaaa!!!!
Wema hata umpe millioni mia sasahivi kesho utakuta anapost picha yuko zake china ananunua magauni ya kutokea pale 40/40 tabata hahahaaaa habadiliki yule ndo life aliochagua.Mkumbuke kuwa wema sepetu anakimbiza miaka 30 now ni mtu mzima huyo lakini kinachomsumbua ni kutokuwa na msimamo na akili pia kichwani hamna na ndio maana kila kukicha anaburuzwa tu yani lipo kama nyumbu halieleweki
Kila kukicha weznzie wanatajirika yeye kazi kujipendekeza tu, ona sasa ivi wcb wanavyomtumia kijanja kuboost nyimbo yao ya african beauty, bila lenyewe kujua kuwa linatumika yani lipo lipo tu,
Ndege hufananao?Kichhaaaaaa
I have my own kiota[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndege hufananao?
Mim na wewe tunashea kiota kimojaI have my own kiota[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jamani si tunaset siku jamaniiHa ha ha ha naona mnaanza kuleta mashabiki
Mabawa tofauti[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mim na wewe tunashea kiota kimoja
Na mashabiki wake wengi ni maandazi maana hata wema akijisaidia hadharani watampamba haooo duuuh!Yaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
Na ndo umri una sogea (Age go),tatzo la WEMA hajitambui hata kidogo,angalia marafik zake alionao wote wapenda starehe,Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema
Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
Kwahyo mnasetia hapa?Jamani si tunaset siku jamanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mashabiki wake wengi ni maandazi maana hata wema akijisaidia hadharani watampamba haooo duuuh!
HahahaKwahyo mnasetia hapa?