Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] itwaitwa sisters day out!!!

Na hivi hatuna gari itabidi nilale kwako![emoji13] [emoji13] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utalala sema kingine
 
ukiwa unajiona mzuri sana basi kinachoumia sana ni sehemu zako za siri
 
Akili ndo tatizo.

Hao wanaojiita Team Wema ndo wanaonufaika na kutoendelea kwake.
 
Back
Top Bottom