Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini

Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema

Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel

Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha

Anakwama wapi , ili tumshauri?
Wapi na lini wcb wameshawahi kumtumia ?
 
Mkumbuke kuwa wema sepetu anakimbiza miaka 30 now ni mtu mzima huyo lakini kinachomsumbua ni kutokuwa na msimamo na akili pia kichwani hamna na ndio maana kila kukicha anaburuzwa tu yani lipo kama nyumbu halieleweki

Kila kukicha weznzie wanatajirika yeye kazi kujipendekeza tu, ona sasa ivi wcb wanavyomtumia kijanja kuboost nyimbo yao ya african beauty, bila lenyewe kujua kuwa linatumika yani lipo lipo tu,
Wema hata umpe millioni mia sasahivi kesho utakuta anapost picha yuko zake china ananunua magauni ya kutokea pale 40/40 tabata hahahaaaa habadiliki yule ndo life aliochagua.
 
Yaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
Na mashabiki wake wengi ni maandazi maana hata wema akijisaidia hadharani watampamba haooo duuuh!
 
Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini

Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema

Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel

Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha

Anakwama wapi , ili tumshauri?
Na ndo umri una sogea (Age go),tatzo la WEMA hajitambui hata kidogo,angalia marafik zake alionao wote wapenda starehe,
 
Back
Top Bottom