Hata humu kuna team zake mama tena lijanaume tenaYaani halafu team yake wanampamba kijinga ukimpa ukweli matusi!
Anatumia uzuri wake nafikir down ndo kunako umia anashinda Kula na kulala kwa mahotel makubwa mtoto 1 hivi mtam sanaanakazi gani?
Umshauri ili afanikiwe kama ulivyofanikiwa wewe?Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
Ananifurahishaga tu akivaa nguo mpya anavyopost na vile team yake inavyompamba mi ht sionagi cha ajabu kiukweli aliyekua ananikosha Lulu tu[emoji769]!!Shida yake kumrusha roho bibie wa sauzi
HahaHata humu kuna team zake mama tena lijanaume tena
Bora angekuwa na hiyo Elimu uliyoisema kidogo angeamka, unazani walivyosema shule huondoa ujinga uongo.Yaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
[emoji23][emoji23]Anatumia uzuri wake nafikir down ndo kunako umia anashinda Kula na kulala kwa mahotel makubwa mtoto 1 hivi mtam sana
Achana nae dear kuna watu stress zimewazidiHata humu kuna team zake mama tena lijanaume tena
Shangaa na wewe halafu jitu linakuja hata hujui lilipotokea linakuquote kama yeye ndio mleta thread mfyuuuu zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama umaarufu ndio kujenga nyumba, Le Mutuz, Mangi Kimambe na Harmorapa wangekuwa na mahekalu
Ushauri mzuri na ndio tunamshauri hapaUmshauri ili afanikiwe kama ulivyofanikiwa wewe?
Nimeachana nae lovieAchana nae dear kuna watu stress zimewazidi
General mangi elileta uzi humu kuwa alikutana na wema lakini alichokiona nk tofauti na picha zake za insta yani full michirizi kwenye ngozi[emoji23][emoji23]Ananifurahishaga tu akivaa nguo mpya anavyopost na vile team yake inavyompamba mi ht sionagi cha ajabu kiukweli aliyekua ananikosha Lulu tu[emoji769]!!
Hashauriki muone Wolper sasa hiviYaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
Mada Genny, wolper now anatumia vizuri brand yake kuingiza pesa, anajenga kila kukicha pia biashara ya nguo anaitumia vizuriHashauriki muone Wolper sasa hivi
Muda we ndo unajua kuna watu mpk muda huu hawajui kua j4 ya Leo haitarudi tena km ya leoNimeachana nae lovie
Mada Genny, wolper now anatumia vizuri brand yake kuingiza pesa, anajenga kila kukicha pia biashara ya nguo anaitumia vizuri
Watu km ninyi wala hawatakiishida huyu dada hana mipango ya muda wa kati na muda mrefu. pili nadhani anapsychological problem la kukosa mtoto. hivyo anaapoteza muda mwiiiiiiiingi kudhani kuna mtu ataweza kumpa.
Bora angejifunza kwa mtu kama Lady JD namna ya kuweka mikakati mbali mbali. lakini pia nahisi happendi kutumia wataalamu na kama anawatumia basi hafuati ushauri wao kwenye mambo fulani fulani.
Pia inawezekana anazungukwa na watu wengi wanaojinufaisha kuwa nae lakini hawampi changamoto za kimaendeleo hivyo kundi kubwa linalomzunguka ni kikwazo kwake.
Mwisho: Ushauri akitaka kutoka na aendelee kuwa na jina aje na wazo jipya la kwake ambalo linaweza kuwa la kijamii, kibiashara, n.k
zaidi awasiliane na hawa jamaa zangu hapo Dar ni super think tank info@gmconsultz.com
Factshida huyu dada hana mipango ya muda wa kati na muda mrefu. pili nadhani anapsychological problem la kukosa mtoto. hivyo anaapoteza muda mwiiiiiiiingi kudhani kuna mtu ataweza kumpa.
Bora angejifunza kwa mtu kama Lady JD namna ya kuweka mikakati mbali mbali. lakini pia nahisi happendi kutumia wataalamu na kama anawatumia basi hafuati ushauri wao kwenye mambo fulani fulani.
Pia inawezekana anazungukwa na watu wengi wanaojinufaisha kuwa nae lakini hawampi changamoto za kimaendeleo hivyo kundi kubwa linalomzunguka ni kikwazo kwake.
Mwisho: Ushauri akitaka kutoka na aendelee kuwa na jina aje na wazo jipya la kwake ambalo linaweza kuwa la kijamii, kibiashara, n.k
zaidi awasiliane na hawa jamaa zangu hapo Dar ni super think tank info@gmconsultz.com
Mkuu umeongea ukweli yeye anaoshinda nao wakina aggrey shoga ebu niambie atamshauri ninii sana sana wema ndio anamtafutia mwanaume wakina junaither na joan wana maduka yao wanamtumia yeye wamtangazie biashara zaoshida huyu dada hana mipango ya muda wa kati na muda mrefu. pili nadhani anapsychological problem la kukosa mtoto. hivyo anaapoteza muda mwiiiiiiiingi kudhani kuna mtu ataweza kumpa.
Bora angejifunza kwa mtu kama Lady JD namna ya kuweka mikakati mbali mbali. lakini pia nahisi happendi kutumia wataalamu na kama anawatumia basi hafuati ushauri wao kwenye mambo fulani fulani.
Pia inawezekana anazungukwa na watu wengi wanaojinufaisha kuwa nae lakini hawampi changamoto za kimaendeleo hivyo kundi kubwa linalomzunguka ni kikwazo kwake.
Mwisho: Ushauri akitaka kutoka na aendelee kuwa na jina aje na wazo jipya la kwake ambalo linaweza kuwa la kijamii, kibiashara, n.k
zaidi awasiliane na hawa jamaa zangu hapo Dar ni super think tank info@gmconsultz.com
Wewe nimekwambia hizo sijui team unazijua wewe labda,mimi nimekushauri kama wewe unavyomshauri huyo Wema,Shangaa na wewe halafu jitu linakuja hata hujui lilipotokea linakuquote kama yeye ndio mleta thread mfyuuuu zake