Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Kwendraaaaa ulitumwa uje uniquote mimi ungeendelea na mambo zako
 
Shangaa na wewe halafu jitu linakuja hata hujui lilipotokea linakuquote kama yeye ndio mleta thread mfyuuuu zake
Hii ni open forums kila mtu anachangia acha kua na akili zilizolala usingizi.
 
kilichokuleta kwenye thread ya kumsema Wema ni nini?
Au hili ni jukwaa la uchumi? Watu wengine bhana
 
Wema anajirahisi mno!
wema hakuwa mtu wa kutoka na akina Bashite! wengine wana nuksi hasa Bashite.
sasa usiku umeshaingia aendelee kuzoazoa.
 
Ananifurahishaga tu akivaa nguo mpya anavyopost na vile team yake inavyompamba mi ht sionagi cha ajabu kiukweli aliyekua ananikosha Lulu tu[emoji769]!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi najipitiaga tu kimya kimya naangalia teams zinavyopambana,wengine wanaponda,wengine wanasifia[emoji23]
 
Anahonga sana bila kutambua jua linazama anagutuka kumekucha
 
Kwendraaaaa ulitumwa uje uniquote mimi ungeendelea na mambo zako
Wewe ulitumwa umshauri huyo Wema? Si na wewe ungeendelea tu na mambo yako! Kumbe jibu unalo ila unahangaika bure tu! Wewe ni wakuhurumiwa tu aisee!!
 
Mada Genny, wolper now anatumia vizuri brand yake kuingiza pesa, anajenga kila kukicha pia biashara ya nguo anaitumia vizuri
Mastar wengine wameamua kutulia tu kutengeneza maisha,ila dada etu wa taifa sasa[emoji124][emoji125] wanamuita Tz sweetheart
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi najipitiaga tu kimya kimya naangalia teams zinavyopambana,wengine wanaponda,wengine wanasifia[emoji23]
Yaani Wema mashoga zake hawataki awe na business maana ataiteka haswaa so wanaogopa wakimshauri positive things atawanyang'anya Wateja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…