Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Sasa ungechangia usingeniquote mm uache kuwashwa washwa siku nyingine ufanye mambo zako
Pole sana uelewa wako ni sawa na mtoto wa darasa la pili nadhani,i told u this is an open forums kila mtu anachangia,kama hupendi hilo piga kimya au kaanzishe forum yako na wakwenu huko.
 
Hana plan ya maisha anayoyataka,anapenda kuishi kwa ajili ya kuonekana na watu
 
Mkimaliza niambieni niwape namba zake mumpe hitimisho
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona povuuu haha
Naona nimekupa ukweli kua unajipendekeza kijinga ukaishia kujichekesha hovyo tu! Nimekuuliza hukuona huyo uliyekuja kumtetea wakati aliponijibu kifedhuli? Jibu swali acha double standard zisizo na maana.
 
Kwani shida ipo wapi kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…