Graph yake ni Range all real numbersFrom ceo to mfanyakazi wa wasafi
Ngoja nikamgugoHuyu hana tafauti na yule Merilyn Monroe wa America ya 1960s japo kwa degree fofauti sana. Ataishia hukohuko alikoishia mwenziye baada ya kutumika sana na wanasiasa both sexually and through publicity. A drug addict,lonely, childless and lifeless finally. No legacy left behind despite the lifetime pomps and pride
A political bimbo!
View attachment 720267
Yapo inakwaza but unapotezea tu!Nimeacha mama halaf nilishatoka huku [emoji85][emoji85][emoji124][emoji124][emoji124]mwisho wake unaweza nichapa na fimbo
Mm huwa sijuagi umaarufu wake unasababishwa na nn mbali ya kuwa alikua miss Tz,kwenye maigizo labda mniambie muvi zake tano zilizohit
Ngoja nikamgugo
Tatizo la Wema ni kuwa na akili ndogo tena sana,HII NI KWA SABABU YA KUSHIRIKIANA NA WAABUDU SHETANI NA KUSHIRIKI MAPENZI YA OVYO. ..wamemtumia,na hata hao wanaomfollow instagram they just look like her,loosers!Ana hazina ya watu insta[emoji23]
Wenyewe au tuwe na kaka yeye amesema mpaka kwaresma iishe etiYapo inakwaza but unapotezea tu!
Lini kwenye mishikaki sasa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kaka kafungaaaa[emoji13] [emoji13] [emoji1]Wenyewe au tuwe na kaka yeye amesema mpaka kwaresma iishe eti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anafunga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kaka kafungaaaa[emoji13] [emoji13] [emoji1]
Dah!acha tu thanks jamaniGenerally watu kama hawa wanakuwa classified kama socialites. Yaani mtu ana fluke kwenye kitu mara moja na kubaki katika limelight baadae
Nenda wikipedia ndio kaandikwa vizuri zaidi.
[emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] twende wenyewe bwana!! Funga jamani fungaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anafunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabidi tupange tuwe wenyewe tuwe na huyu mdada ataninunia nikimwambia nilikuwa na wewe Mzigua90[emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] twende wenyewe bwana!! Funga jamani fungaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] itwaitwa sisters day out!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabidi tupange tuwe wenyewe tuwe na huyu mdada ataninunia nikimwambia nilikuwa na wewe Mzigua90
[emoji1] [emoji1] hee[emoji86] [emoji86] [emoji86] nini jamani!!Afadhali
Dah!acha tu thanks jamani
Nimemsoma dah!ila kafa bado mdogo 36yrs!!!
Dah!yaani hapo nilichoka balaa ht aibu hakua nayo!Yes and guess who she dated and bedded. John F Kennedy and his Brother Robert.
On May 19, 1962, at a fundraiser and early birthday celebration for President John F. Kennedy, Marilyn Monroe shimmied onto the Madison Square Garden stage, shrugged off her glamorous fur coat to reveal a skin-tight, rhinestone-encrusted gown, and stepped up to the microphone.
"Happy Birthday, Mr. President," she famously crooned in her signature sultry, yet strangely childlike voice. "Happy Birthday to you."
View attachment 720275
Afadhali ya nini tena na tigo pesa itahusika hata kama haupoAfadhali